Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #121
Mkuu kutofautiana ndo demokrasia yenyeweUnauzi kila mara ni upuuzi tu
Hahaa ulitaka itangazwe na TBC.Ukiona haitangazwi na mainstream media ujue siyo muhimu, umeona Bobi wa Uganda yuko all over main stream media, ...
Kama kamanda anasema uwongo Wewe thibitisha ukweli ni upiKamanda acha kueneza uongo wa kipumbavu.
Hahahahaha!! Tena amwambie kabisa kuwa yeye ni mfungwa mtarajiwa wa ICCSwafi kabisa.
"hii sio awamu ya kula raha, hata mke wangu hanipi raha"
Ufipa acheni uoga bhana!Wa buku saba kazi ndio inaelekea ukingoni hivyooo
Wanapiga kelele haki za binadamu wakati wanatuona sisi ni kama nyani, ata tujitawale wenyewe kama nyani. Tutapata hela kwa vyanzo vyetu wenyewe, tuliwaonyesha mfano kwa kukataa hela zao za kuendesha uchaguzi. Si uchaguzi ulifanywa ?
Tuletee ukweli wenyewe, unajibu tu ili mradi ujibu hata kusikiliza hujasikiliza.Kamanda acha kueneza uongo wa kipumbavu.
Wakati ndo mnaongoza kwa kuwatembezea bakuli kuwaomba helaNa sisi tutatangaza vita ya kiuchumi rasmi na hao mabeberu, waondoke wao na vibaraka wao. Hii nchi ilichezewa sana.
Nakuhurumia hujui unatembea uchi mbele za watu.Kamanda acha kueneza uongo wa kipumbavu.
HahahahahaSiyo kweli, Tanzania imesifiwa kwa vita dhidi ya covid 19 na kupongezwa kwa kufanya uchaguzi huru na haki
Africa chaguzi zote ni zilezile na wanasiasa ni walewale wachmia matumbo awe opposition or anaongoza......Sio yataanza na zile Kura za kwenye mabegi
Lazima atakosa hela za kuwalipa wanajeshi mishahara we subiri tutuna hali mbaya kifedha
afu hivi vikundi vifanye kazi zao Tanzania...thubutu!!Wameshauri kuliko kuipatia serikali ambayo inaweza kuitumia vibaya kufifisha haki za binadamu ni bora kuvipatia moja kwa moja vikundi vinavyojihusisha na kutetea haki za binadamu.
Kumbe walipewa pesa ya corona wamekula?Waondoe tu misaada, tuisome number wote sio wacha he wanaokula mema ya nchi.