Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

No woman no cry. Mwanamke akikosea malezi Bora utotoni uzalishaji bomu ukubwani linaloangamiza Jamii nzima.
 
Wanapiga kelele haki za binadamu wakati wanatuona sisi ni kama nyani, ata tujitawale wenyewe kama nyani. Tutapata hela kwa vyanzo vyetu wenyewe, tuliwaonyesha mfano kwa kukataa hela zao za kuendesha uchaguzi. Si uchaguzi ulifanywa ?

Thus mnataka wafanyakazi wawe na TIN namba ili biashara zao zikifa mfyeke kwenye mishahara yao mtauwa watu, sababu ya uprimitive.Vyanzo vipi sasa Hali hata vyoo Ni misaada.
 
Mkuu ebu lete mada vizuri, maana watu kama nyie ndio mnasababisha akina Mexime Melo wanasumbuliwa na serikali, sababu ya habari za uongo.
Hivi, ugaini wa msumbiji na kusini mwa tz, kunawezeshaje nchi kutopewa msaada? Kwani tz ndio mfadhiri wa ugaidi unaondelea huko?
Mi nakushauri, point iwe hiyo ya kisiasa tu wala sio ugaidi. Kweli muongo njia yake fupi.
 
Hizi maamuzi naona hayatawagusa kitu wakina slowslow
 
Wameshauri kuliko kuipatia serikali ambayo inaweza kuitumia vibaya kufifisha haki za binadamu ni bora kuvipatia moja kwa moja vikundi vinavyojihusisha na kutetea haki za binadamu.
afu hivi vikundi vifanye kazi zao Tanzania...thubutu!!
 
Back
Top Bottom