Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kelele kabla. Wakati na baada ya uchaguzi ni zilezile na maadui ni wale wale. Wa ndani ya taifa na nje ya taifa wakishirikiana.

Uzuri wa madui hawa mipango yao iko wazi. Vita yao sasa imesimika mizizi katika diplomasia. Kinachotakiwa walio nyuma ya mpango huu wa ndani ya nchi ni kina nani? Hapa sizungumzii wa pinzani na zungumzia waliojificha nyuma ya wapinzani.

Huko Ulaya si tatizo sana maana tayari mawazo yao kuhusu Tanzania yanatofautiana kiasi cha kywa ni faida kwa Tanzania.

Maadui wa ndani ya taifa ndio pasua kichwa na unahitaji umakini mkubwa kushughulika nao. Na maadamu vita sasa ni ya kidiplomasia lazima kuiangalia kwa jicho hili. Wanaongoza vita hii huko kwa maadui lazima wawe wanavinasaba vya udiplomasia.

Kinacho lengwa zaidi ni kumfanya Rais na serikali yake wakwame kwa kusababisha hali ngumu ya uchumi kwa wananchi na miradi ya maendeleo ikwame. Silaha yao kubwa ni propoganda za upotoshaji. Haya mawili yakifanikiwa itawarahisishia kuona matokeo taraji ya propoganda zao. Kinacho lengwa na kushambuliwa zaidi ni umaarufu wa JPM. Kwani kwao ni tishio kwa malengo yao likiwemo la kuweka mrithi wa JPM ambaye wanataka awe niwa maslahi yao na sio Taifa na Watanzania walio wengi.

Siri ya vita ni akili. Na akili kubwa na makini ndio inatakiwa kuendelea kutumika sasa kuliko huko nyuma.
 
Hao wazungu waache kabisa mzaha, tunataka wakaze haswaa hadi huyu mtu ajiuzulu, tumechoka kudharauliwa na kufanywa misukule kwenye nchi yetu wenyewe.

Kitendo alichokifanya ni dhihirisho tosha kwamba hana kabisa heshima wala staha kwa wananchi wanaowaongoza.

Huyu hakufaa na wala hafai kabisa kuwa rais wa nchi stahiki yake ilikuwa ni unyapara wa barabara. Very hopeless autocrat.
 
Punguza pressure bwasheee??? Mbona umepanic sana??? Na wewe ni mmoja wao nini??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ushauri wangu kwenu ni huu. Jiandaeni tu , Safari hii wazungu hawawaachi lazima muite Maji mmaaaaa
 
Wabunge wanatakiwa wapunguziwe maslai nao Kama chanzo cha mapato kwao tunaweza okoa pesa nyingi Sana ubunge ni utumishi iwe ni kazi ya kujitolea Kama ualimu na udaktari Hadi tukiwa vizuri kiuchumi ndo maslai yaboreshwe
 
Mkuu ebu lete mada vizuri, maana watu kama nyie ndio mnasababisha akina Mexime Melo wanasumbuliwa na serikali, sababu ya habari za uongo.
Hivi, ugaini wa msumbiji na kusini mwa tz, kunawezeshaje nchi kutopewa msaada? Kwani tz ndio mfadhiri wa ugaidi unaondelea huko?
Mi nakushauri, point iwe hiyo ya kisiasa tu wala sio ugaidi. Kweli muongo njia yake fupi.
Wenye hela zao ndio waliojadili na mambo ya ugaidi kusini mwa Tanzania sio mimi.
 
Waondoe tu misaada, tuisome number wote sio wacha he wanaokula mema ya nchi.
Wamesema hawaitowi misaada,sema Sasa fungu watakua wanapewa akina NI YEYEEE ndiyo wapange budget ya Nchi!!
 
Na sisi tutatangaza vita ya kiuchumi rasmi na hao mabeberu, waondoke wao na vibaraka wao. Hii nchi ilichezewa sana.
Mbona mpaka sasa Nchi inachezewa zaidi kuna ufisadi kila kona dili kuanzia ununuzi wa Ndege mpaka kwenye miradi yote na sasa mmetafuna pesa za corona wakati mlisema Tanzania hakuna corona
 
Huwezi shabikia utopolo kama huu ,binadamu mwenzako anakupangia chakufanya ,nyie ndio mtakuwa wakwanza kuupokea usodoma na ugomora kwa kuwa ni haki pia za binadamu kwa hao mnaowashabikia.
 
Lazima niogope tumekula pesa zao €27m tukiwadanganya za korona wakati serikali imesema hatuna korona tutazilipaje.
Hata Kama hakuna Corona,pesa zimetumika zaidi kwenye Kinga! Na Kama ujuwaavyo Kinga ni bora zaidi kuliko Tiba!!
 
Kunywa maji baridi upumzike kivulini haraka kabla pressure haijakuondoa.
 
Back
Top Bottom