Kamati ya Maridhiano - Wataka Zanzibar Ijitegemee kila kitu

Kamati ya Maridhiano - Wataka Zanzibar Ijitegemee kila kitu

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,677
“Ni Hassan Nassor Moyo, Mansour na Ismail Jussa”
‘Wataka iwe na sarafu yake, mambo ya nje nauhamiaji, isajili vyama vyake vya siasa’
Zanzibar: Kamati ya Maridhiano imetoa maoni yake ya Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutaka Zanzibar ijitegemee karibu kwa kila kitu.
Maeneo inayotaka yaondolewe kwenye Muungano ni uraia nauhamiaji, sarafu na Benki Kuu, mambo ya nje na usajili wa vya vya siasa.
“Msimamo wa Kamati hiyo unaelezwa kuwa chanzo cha mmoja wa wajumbe wake, Mansour Yussuf Himid kuvuliwa uanachama wa CCM, Agosti 26 mwaka huu….

Habari kamili kwenye gazeti la Mwananchi, Jumatatu, Septemba 2, 2013
 
Nawaunga mkono mkishapewa hayo mambo ntakuja kuomba uraia wa zenj,ila mambo yakuitana machogo ndio sitaki
 
Who cares Zanzibar ikijitegemea katika hayo mambo??

Watu laki tisa mnataka sarafu yenu ya nini kama sio upuuzi. Ulaya wameenda kwenye sarafu moja, nyie hata kujitegemea kwa chakula tu bado mnataka sarafu . yenu
 
Who cares Zanzibar ikijitegemea katika hayo mambo??

Watu laki tisa mnataka sarafu yenu ya nini kama sio upuuzi. Ulaya wameenda kwenye sarafu moja, nyie hata kujitegemea kwa chakula tu bado mnataka sarafu . yenu

mishahara yao tu inatoka bara. nadhani wengi wao ni wapuuzi au mambumbumbu wasiojua madhara ya wanachokitaka.
 
Hawajui implications za kutaka autonomy!! Wapemba itabidi wabebe viduka vyao toka bara kurudi huko visiwani kwani huku watakuwa wahamiaji watakaohitaji vibali!!! Wenzenu watutsi wanalilia kujiunga na Tanganyika lakini nyie mburula ndio kwanza eti mnataka kujitenga na visiwa vyenu vilivyo na ukubwa wa wilaya ya Kinondoni!
 
kujitambua ni muhimu sana, watangaze kuwa muungano hawautaki. Porojo za nini?
halafu waone matokeo yake!!!!
 
Hawajuiu implications za kutaka autonomy!! Wapemba itabidi wabebe viduka vyao toka bara kurudi huko visiwani kwani huku watakuwa wahamiaji watakaohitaji vibali!!! Wenzenu watutsi wanalilia kujiunga na Tanganyika lakini nyie mburula ndio kwanza eti mnataka kujitenga na visiwa vyenu vilivyo na ukubwa wa wilaya ya Kinondoni!

Wewe kweli hupo sawa kabisa kwenye kichwa chako znz hawahitaji tanganyika leo mkiwaachia basi itakuwa kama dubai ile nchi nyinyi tanganyika ndio mtakwenda znz kununua vitu kuleta bara mbulula wwe
 
wajamen hawa wazenj t means wanataka kujiengua so wanin kuendelea kuwang'ang'ania??
 
bora ingekua ukiongea neno moja unalipa kodi ili muache kuongea mambo ata hamjui mnaongea nini. mnadhani kuna kitu chochote zanzibar inategemea kutoka tanganyika? mkubali mkatae wazanzibari ni wasomi na wenye akili, waulizeni babu zenu wa miaka ya 60 watawambia nyinyi hata kula mmefundishwa na na zenji ila saivi mnaongea tu. ngoja tujitenge tuanze kuwauzia mafuta, umeme, na tutakua na technogy yetu, hiyo sio siasa ukweli vichwa vyetu vinafanya kazi.....
 
umeme wameufkiria katka kujtegemea kwao au wataununua kwetu?? na maji iv wanayo au wanayatoa mainland??
 
Kwani hawa bado hawajapata uhuru ? yatizame utayakuta yanaandamana kudai uhuru wa Palestina! Jk Wape Uhuru wao wanatubana tu hawa kuwahudumia kwa kila kitu.... yashakuwa makubwa yanang'ang'ania kukaa kwa Baba aibu
 
Ni maoni yao kama mtanzania yeyote. Wacha waogelee katika ule uhuru wa maoni at least katika forum hiyo, maana mmoja tayari imemgharimu huko chamani.
 
Back
Top Bottom