kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,677
Ni Hassan Nassor Moyo, Mansour na Ismail Jussa
Wataka iwe na sarafu yake, mambo ya nje nauhamiaji, isajili vyama vyake vya siasa
Zanzibar: Kamati ya Maridhiano imetoa maoni yake ya Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutaka Zanzibar ijitegemee karibu kwa kila kitu.
Maeneo inayotaka yaondolewe kwenye Muungano ni uraia nauhamiaji, sarafu na Benki Kuu, mambo ya nje na usajili wa vya vya siasa.
Msimamo wa Kamati hiyo unaelezwa kuwa chanzo cha mmoja wa wajumbe wake, Mansour Yussuf Himid kuvuliwa uanachama wa CCM, Agosti 26 mwaka huu .
Habari kamili kwenye gazeti la Mwananchi, Jumatatu, Septemba 2, 2013