Pre GE2025 Kamati ya Maridhiano ya Taifa yashangaa CHADEMA kufanya Maandamano wakati Taifa lina Misiba mitatu mikubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kamati ya Amani na Maridhiano inayoongozwa na Sheikh Alhad Musa Salum imesema siyo Haki Chadema Kufanya Maandamano wakati Huu nchi ikiwa Kwenye Misiba mitatu mikubwa

Kamati hiyo imewataka Chadema wafanye utu kwa kuahirisha Maandamano hayo hadi Shughuli za mazishi zikamilike

Mchungaji Mlata amewasihi Sana Chadema wajaribu Kuwa na Utu badala ya kulifarakanisha Taifa

Source Upendo TV

Mlale Unono 😃😃
Chama cha wachaga kile hawana akili.
 
Kamati hiyo imewataka Chadema wafanye utu kwa kuahirisha Maandamano hayo hadi Shughuli za mazishi zikamilike

Mchungaji Mlata amewasihi Sana Chadema wajaribu Kuwa na Utu badala ya kulifarakanisha Taifa

Source Upendo TV

Mlale Unono 😃😃
Je tume yenyewe imewahi kufanya utu?
 
CHADEMA ni wapuuzi sana! Taifa liko katika majonzi na maombolezo wao wanaandamana!

Akili za kijinga na kitoto toto kama hizo ndo maana wananchi huwadharU!

Maandamano yenu lazima yadode!

Halafu kumbe CHADEMA husomba watu wa kuandamana kutoka sehemu mbalimbali?! Nimeshangaa sana!

Nimeongea na Kiongozi mmoja wa CHADEMA mjini Musoma eti CHADEMA- Maandamano imewambia
Musoma mjini ipeleke waandamanaji 300 Mwanza na wajigharamikie wenyewe safari yao kwani CHADEMA haina Hela. Aibu saaana!!!!
Ccm ni washenzi sana kama viongozi wao.
 
Kamati ya Amani na Maridhiano inayoongozwa na Sheikh Alhad Musa Salum imesema siyo Haki Chadema Kufanya Maandamano wakati Huu nchi ikiwa Kwenye Misiba mitatu mikubwa

Kamati hiyo imewataka Chadema wafanye utu kwa kuahirisha Maandamano hayo hadi Shughuli za mazishi zikamilike

Mchungaji Mlata amewasihi Sana Chadema wajaribu Kuwa na Utu badala ya kulifarakanisha Taifa

Source Upendo TV

Mlale Unono [emoji2][emoji2]
Kuna kitu mnatuficha? Hiyo misiba mitatu ya kina Nani? Mkuranga nayo tayari ? Au Mtoto wa Mkulima amezimika?
 
Back
Top Bottom