Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
Maombolezo yalikuwa siku 5 shughuli nyingine LAZIMA ZIENDELEE mbona Bunge na ziara za Viongozi zinaendeleaKamati ya Amani na Maridhiano inayoongozwa na Sheikh Alhad Musa Salum imesema siyo Haki Chadema Kufanya Maandamano wakati Huu nchi ikiwa Kwenye Misiba mitatu mikubwa
Kamati hiyo imewataka Chadema wafanye utu kwa kuahirisha Maandamano hayo hadi Shughuli za mazishi zikamilike
Mchungaji Mlata amewasihi Sana Chadema wajaribu Kuwa na Utu badala ya kulifarakanisha Taifa
Source Upendo TV
Mlale Unono [emoji2][emoji2]