Pre GE2025 Kamati ya Maridhiano ya Taifa yashangaa CHADEMA kufanya Maandamano wakati Taifa lina Misiba mitatu mikubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hiyo kamati ya maridhiano inardhiana na Nani? Na iliundwa na Nani? Hiyo kamati ya maridhiano ingekuwa na utu ingekuwa imeisha arodhesha watu wote walio potea na kuuwawa kipindi cha Magufuli. Hapo wangekuwa na nguvu ya kuongelea utu.
Watu nchi hii wameuwawa hata kabla Magufuli hajawa rais wa nchi hii,ila mnajitia upofu,shenzi kabisa wewe
 
Ndiyo hata Mimi najiuliza.

Tunachojua ni kuwa tuna misiba 2 ya Lowasa na Msabaha, huo msiba wa 3 ni wa nani??

Au ndiyo anatabiri kuwa utakuwepo msiba mwingine mkubwa, wakati wowote kuanzia sasa!?
Yule balozi aliyekuwa mbunge wa Nkenge huna taarifa?
 
Kamati ya Amani na Maridhiano inayoongozwa na Sheikh Alhad Musa Salum imesema siyo Haki Chadema Kufanya Maandamano wakati Huu nchi ikiwa Kwenye Misiba mitatu mikubwa

Kamati hiyo imewataka Chadema wafanye utu kwa kuahirisha Maandamano hayo hadi Shughuli za mazishi zikamilike

Mchungaji Mlata amewasihi Sana Chadema wajaribu Kuwa na Utu badala ya kulifarakanisha Taifa

Source Upendo TV

Mlale Unono [emoji2][emoji2]
Wanafiki pambaneni na hali yenu..Mlimtukana Lowassa leo mnasema hakuwa na kosa...haya leo kafa .....kiko wapi
Wanasiasa uchwara wa bongo ni takataka si CCM wala Upinzani wote wapuuzi tu...atakaewasikiliza labda fala tu...
 
Kamati ya Amani na Maridhiano inayoongozwa na Sheikh Alhad Musa Salum imesema siyo Haki Chadema Kufanya Maandamano wakati Huu nchi ikiwa Kwenye Misiba mitatu mikubwa

Kamati hiyo imewataka Chadema wafanye utu kwa kuahirisha Maandamano hayo hadi Shughuli za mazishi zikamilike

Mchungaji Mlata amewasihi Sana Chadema wajaribu Kuwa na Utu badala ya kulifarakanisha Taifa

Source Upendo TV

Mlale Unono [emoji2][emoji2]
Jinga hilo
 
Chama kinachojivunia usomi Kwamba kina wasomi kuliko wenzao CCM lakini kina Mambo ya hovyo Sana.
CHADEMA ni wapuuzi na hawajui wanachokipigania.....tuko Kwenye maombolezo wao wanaratibu ujinga wa kuandamana ili iweje?
Ndio kuna msiba lkn haina maana shuhuli zote zisimame hawez kuacha mapambano kwasab askari mmoja kafa vitani.

kwani wanachama wangap wanafariki na shughuli zinaendelea kama kawaida.

Kwa mantiki hiyo mpuuzi ni wewe sasa
 
Kamati ya Amani na Maridhiano inayoongozwa na Sheikh Alhad Musa Salum imesema siyo Haki Chadema Kufanya Maandamano wakati Huu nchi ikiwa Kwenye Misiba mitatu mikubwa

Kamati hiyo imewataka Chadema wafanye utu kwa kuahirisha Maandamano hayo hadi Shughuli za mazishi zikamilike

Mchungaji Mlata amewasihi Sana Chadema wajaribu Kuwa na Utu badala ya kulifarakanisha Taifa

Source Upendo TV

Mlale Unono 😃😃

Hiyo misiba mitatu mikubwa ni ipi ....!!?

Anyway, maandamano ni sehemu ya kazi. Watu wanaandamana baadaya hapo wanakwenda msibabi .... same as mother yuko ziarani Majuu akirudi anakwenda msibani.

La sivyo wangfanya public holiday kama kweli ni misiba mikubwa.
 
CHADEMA ni wapuuzi sana! Taifa liko katika majonzi na maombolezo wao wanaandamana!

Akili za kijinga na kitoto toto kama hizo ndo maana wananchi huwadharU!

Maandamano yenu lazima yadode!

Halafu kumbe CHADEMA husomba watu wa kuandamana kutoka sehemu mbalimbali?! Nimeshangaa sana!

Nimeongea na Kiongozi mmoja wa CHADEMA mjini Musoma eti CHADEMA- Maandamano imewambia
Musoma mjini ipeleke waandamanaji 300 Mwanza na wajigharamikie wenyewe safari yao kwani CHADEMA haina Hela. Aibu saaana!!!!

Sijaelewa pointi yako ni nini? Hao waandamanaji 300 ni kuku, ng'ombe au bata? Kwani Musoma sio Tanzania? Maandamano ya Mwanza yanaadhiri vipi msiba Utakaokuwa Monduli? Au nikuulize huu msiba unaathiri vipi shuhuli za kila siku? Ukiitwa mpumbavu utakasirika?
 
Kamati ya Amani na Maridhiano inayoongozwa na Sheikh Alhad Musa Salum imesema siyo Haki Chadema Kufanya Maandamano wakati Huu nchi ikiwa Kwenye Misiba mitatu mikubwa

Kamati hiyo imewataka Chadema wafanye utu kwa kuahirisha Maandamano hayo hadi Shughuli za mazishi zikamilike

Mchungaji Mlata amewasihi Sana Chadema wajaribu Kuwa na Utu badala ya kulifarakanisha Taifa

Source Upendo TV

Mlale Unono 😃😃

Hivi hiyo kamati ya maridhiano iliashishwa lini .... Kama kweli ipo mbona hawatupi marejesho ya hao maridhiano!?
 
CHADEMA ni wapuuzi sana! Taifa liko katika majonzi na maombolezo wao wanaandamana!

Akili za kijinga na kitoto toto kama hizo ndo maana wananchi huwadharU!

Maandamano yenu lazima yadode!

Halafu kumbe CHADEMA husomba watu wa kuandamana kutoka sehemu mbalimbali?! Nimeshangaa sana!

Nimeongea na Kiongozi mmoja wa CHADEMA mjini Musoma eti CHADEMA- Maandamano imewambia
Musoma mjini ipeleke waandamanaji 300 Mwanza na wajigharamikie wenyewe safari yao kwani CHADEMA haina Hela. Aibu saaana!!!!
Wananchi gani nawewe toa ujinga hapa.kwani hao chadema sio wananchi.acha kujipa umuhimu usio kuhusu kwenye mambo ya watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha kuna ule mwaka chadema wanaenda kuhani msiba wakakataliwa kuingia na hata kuandika majina wakagomewa
Kweli, nimeikumbuka hii. Chadema waliwahi kutengwa kwenye msiba. Hivyo hata Leo Wana haki ya kuendelea kumuenzi marehemu Mgombea wao Lowasa Kwa staili waijuao wenyewe.
 
CHADEMA ni wapuuzi sana! Taifa liko katika majonzi na maombolezo wao wanaandamana!

Akili za kijinga na kitoto toto kama hizo ndo maana wananchi huwadharU!

Maandamano yenu lazima yadode!

Halafu kumbe CHADEMA husomba watu wa kuandamana kutoka sehemu mbalimbali?! Nimeshangaa sana!

Nimeongea na Kiongozi mmoja wa CHADEMA mjini Musoma eti CHADEMA- Maandamano imewambia
Musoma mjini ipeleke waandamanaji 300 Mwanza na wajigharamikie wenyewe safari yao kwani CHADEMA haina Hela. Aibu saaana!!!!
Bunge je?
 
Back
Top Bottom