Kamati ya roho mbaya Simba SC chini ya Gentamycine yachakazwa na kakamati kadogo ka roho mbaya ka Mtibwa Sugar

Genta bana,Ifike mahali ukubali ukweli mkuu,Mambo yashakuwa mazito🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23]
 
Mkuu kuna mganga wenu (mganga wa simba sc) yupo kilwa kivinje ni mzee mmoja mrefu hivi jina lake X namjua. Huyu mzee kila simba ikiwa na game mnamsafirisha kuja kufanya figisu (kuroga) game. Vipi this time hamkua na nauli (15,000) ya kumpandisha Mashaallah aje daslam? Au ndio uzungu mwingi wa viongozi kama ulivyosema?
 
Genta kapigwa na kitu kizito na mganga wake🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…