Kamati ya roho mbaya Simba SC chini ya Gentamycine yachakazwa na kakamati kadogo ka roho mbaya ka Mtibwa Sugar

Nimegundua unapenda sana Utani na Kutaniana nami hapa JamiiForums jambo ambalo hata Mimi nalipenda pia.

Niwe mkweli Kwako ni kweli kuwa tokea Juzi nimekuwa nikiandika Mada hapa JamiiForums kuwaomba Simba SC wakiimarishe Kitengo chao cha Umafia kwani Kimepwaya sana na Kuzidiwa na kile cha Yanga SC na kuwaomba wakiweza wanipe Mimi na Watu wangu Sita ( 6 ) Yanga SC hatouchukua huu Ubingwa.

Mkuu sijaonana na CEO wa Simba SC yangu Barbara Gonzalez wala hata kupokea Pesa yoyote ile ya kufanya Umafia dhici ya Mechi na Mtibwa Sugar FC ya Leo pale Manungu Turiani Mkoani Morogoro.

Kuthibitisha hilo Kwako / Kwenu leo hapa hapa JamiiForums nilikuja na Uzi wa Kuulaumu Uongozi wa Simba SC kuruhusu Timu ipite barabara ambaye tulishategwa Kindumba ( Kiuchawi ) na Mtibwa Sugar FC na hadi nikasema hii Mechi itakuwa Ngumu Kwetu huku nikimjibu Mmoja wa Member Maarufu hapa JamiiForums kuwa kwa hali na Mazingira Ushindi wa Simba SC leo ni ama Sare ( Suluhu ) au Kufungwa ila Kushinda itakuwa ni Ngumu na imekuwa kama nilivyotabiri.

Mwisho GENTAMYCINE katika Kuipigania Simba SC Kimafia sihitaji Malipo / Fadhila yoyote ya Peda ( Fedha ) kwani ningetaka Malipo nadhani Umafia nilioufanya na akina Idi Kajuna, Ndanje, Juma Nkamia ( Mheshimiwa ), Crescetius Magori, Kassim Dewji KD na Marehemu Zacharia Hanspoppe mpaka Yanga SC Kufungwa Goli 5 na zile 4 na Simba SC na zile za Kumfunga Mwarabu Al Ahly Taifa ningewadai ila tulifanya kwa Mapenzi yetu kwa Simba SC kama ambavyo Baba yake Mzazi aliyewahi kuwa Beki wetu Katili Amri Said 'Stam' Mzee Said alivyojitolea eneo lake Kubwa ( Uwanja wake Binafsi ) wa Bunju kwa kuwapa Simba SC na leo Tajiri Mo Dewji na Wana Simba SC wameuendeleza na Kuitwa Mo Simba Arena na Mzee wa Watu hakudai na hajadai Malipo yoyote au Fadhila zozote.

Kitengo cha Umafia cha Simba SC kikiimarishwa, kukiwa na Usiri, Umakini, Sacrifice na Ushujaa nakuhakikishia Mkuu Yanga SC hawauchukui huu Ubingwa na GENTAMYCINE najiamini 100% juu ya hili kwakuwa nawajua Yanga SC ndani nje na njia zote wanazopita ila Viongozi wa sasa wa Simba SC ni Wabishi halafu wana Dharau na Uzungu mwingine hivyo na Sisi tunawaachia wahangaike na Mfupa Mgumu ambao sasa unawashinda Kuutafuna.
Genta bana,Ifike mahali ukubali ukweli mkuu,Mambo yashakuwa mazito🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23]
 
Mkuu kuna mganga wenu (mganga wa simba sc) yupo kilwa kivinje ni mzee mmoja mrefu hivi jina lake X namjua. Huyu mzee kila simba ikiwa na game mnamsafirisha kuja kufanya figisu (kuroga) game. Vipi this time hamkua na nauli (15,000) ya kumpandisha Mashaallah aje daslam? Au ndio uzungu mwingi wa viongozi kama ulivyosema?
 
Genta kapigwa na kitu kizito na mganga wake🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom