Kwa kweli nahisi itakuwa hivyo. Maana huyu jamaa nahisi hushinda kwa kuwa watu wa kawaida wanampenda; lakini wenye system yao kama unavyosema hawamtaki. Maana haiwezekani kila kukicha yeye na adhabu wanazompaga ni zile za kuhakikisha harudi tena kamwe! Hii inasikitisha sana kwa kweliAnapenda sana mpira ila wenye system yao hawamtaki.Ndugu usiombee uwe ndani ya system ambayo ,watu wenyesystem yao hawakutaki watakuundia kila zenge kwani unawaharibia kufanya maovu yao,mimi nayajua haya na yashanikuta.
Huyo ni "DEALER" sasa akizidi kung'ang'ana atapata hifadhi kule waliko hifadhiwa kina Aveva, Malinzi, KaburuWambura ana nyota ya rejection kama kunguni
UHAMIAJI, mwingine huyu huku JFHuuu ni upuuzi mkubwa Wallace karia kaona wambura anampa wakat mgumu kamua kumtoa kwa njia yoyote ile ili apange watu wake
Bora niendele kuwa shabiki wa Uganda cyo taifa stars kwa njia hii hamna maendeleo ya soka la bongo
Huyu atakuwa na matatizo,haiwezekani kila uongozi unaoingia yeye ndo anaonewaMafisadi hayakubaliki. Wambura auache mpira Wa Tz upumue.
Tangu FAT yupo tu ushaona wapi??? Jizi ni jizi hata Rais wetu anapinga ufisadi
FIFA INAKIRUDISHA HIKOKICHWA AMTOAMINI
Duuuu we jamaa mi mtz sema mpira wa bongo kero tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]UHAMIAJI, mwingine huyu huku JF
HHuyo ni mpigaji kama walivyokuwa akina Rage,Malinzi n.k ila hakujua hizo zama zimeisha akaendelea.Hivyo visababu haviwezi mfutia tuhuma za msingi ambazo huko CAS ndiyo kabisa atajichimbia kaburi.Kumbe hiyo Jacks ni mmali yake.Hilo hamulioni kuwa ni zito sana?Afanye kazi nyingineAende CAS kwani TFF imejaa WAPUUZI,jamaa wamemuonea .Yaani kuna baadhi ya matukio hutokea Tanzani pekee yake
1.Unamuhukumu mtu bila yeye mwenyewe kuwepo kujitetea.
2.Kampuni ya JACKS ambayo wanadai wambura kafoji hizo stakabazi,hawajapewa taarifa waje kutoa ushahidi na wala wao wenyewe kuziverify hizo stakabadhi zao.
3.Yote tisa 10 TFF wao wenyewe wanaverify hizo stakabadhi,wakati kwa hapa Tanzania wenye uwezo wa verify document ni TAKUKURU pekee.
Yaani jamaa akienda CAS anashinda kabisa.

CAS sio wapuuzi kama TFF,we kesi hata la saba hawezi amua kama vile.Alafu acha uwongo kama JACKS ni ya wambura ,TFF walishindwa nini kwenda BRELA kupata uthibitisho,acha kuendeshwa kama boya si wenzio mchezo tunaujua huo,jamaa hawamtaki ktk system yao anawazuia kupiga.HHuyo ni mpigaji kama walivyokuwa akina Rage,Malinzi n.k ila hakujua hizo zama zimeisha akaendelea.Hivyo visababu haviwezi mfutia tuhuma za msingi ambazo huko CAS ndiyo kabisa atajichimbia kaburi.Kumbe hiyo Jacks ni mmali yake.Hilo hamulioni kuwa ni zito sana?Afanye kazi nyingine
Duuuu we jamaa mi mtz sema mpira wa bongo kero tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Upumzike basiLeta cheti cha kuzaliwa cha bibi na babu tuthibitishe hapa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] (joke)
Upumzike basi
Hahahah[emoji42][emoji42][emoji42]