MIDFIELD
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,944
- 702
Kwa kweli nahisi itakuwa hivyo. Maana huyu jamaa nahisi hushinda kwa kuwa watu wa kawaida wanampenda; lakini wenye system yao kama unavyosema hawamtaki. Maana haiwezekani kila kukicha yeye na adhabu wanazompaga ni zile za kuhakikisha harudi tena kamwe! Hii inasikitisha sana kwa kweliAnapenda sana mpira ila wenye system yao hawamtaki.Ndugu usiombee uwe ndani ya system ambayo ,watu wenyesystem yao hawakutaki watakuundia kila zenge kwani unawaharibia kufanya maovu yao,mimi nayajua haya na yashanikuta.