Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
1720204218490.png
Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS katika Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika kwa mwaka 2024

Wanadai hana sifa ya kugombea urais wa chama cha mawakili tanganyika. Mashauriano yanaendelea baada ya maamuzi husika.

PIA SOMA
- Je, Boniface Mwabukusi atafanikiwa kuirejesha TLS kwenye ubora wake?

- Wakili Boniface Mwabukusi hafai na hastahili kuongoza TLS, heshima ya taasisi itashuka mno

- Wakili Mwabukusi Apewa Onyo na Kamati ya Mawakili ya Maadili 'Hatutakiwi Kuogopa'
 
Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS katika Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika kwa mwaka 2024

Wanadai hana sifa ya kugombea urais wa chama cha mawakili tanganyika. Mashauriano yanaendelea baada ya maamuzi husika.
Mimi nilikua tu figisu zitahusika
 
Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS katika Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika kwa mwaka 2024

Wanadai hana sifa ya kugombea urais wa chama cha mawakili tanganyika. Mashauriano yanaendelea baada ya maamuzi husika.
TLS imetekwa na CCM kama ilivyotekwa KKKT
 
Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS katika Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika kwa mwaka 2024

Wanadai hana sifa ya kugombea urais wa chama cha mawakili tanganyika. Mashauriano yanaendelea baada ya maamuzi husika.
Binafisi nawakubali sana Law Societies of Kenya, kuna Raisi wao mwanamke ni shida yule mdada anawakoromea hadi Majaji wa Kenya.
 
FIkria watu wanao jua sheria kama hao wanafika bei sasa vipi kwa choka mbaya raia? ndio maana huko mikoani kama kwa Lukuvi raia wakati wa kampeni wanahongwa Viberiti
 
Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS katika Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika kwa mwaka 2024

Wanadai hana sifa ya kugombea urais wa chama cha mawakili tanganyika. Mashauriano yanaendelea baada ya maamuzi husika.
Usicheze na Dola - Salmin Amour Juma
 
TLS ilikuwa ngangari chini ya Rais Tundu Lissu na Rais Fatma Karume kabla ya kutekwa nyara na mfumo wa dola (State Capture) chini ya chama dola kongwe kioga CCM.
 
Kamati ya uchaguzi ya Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) imeliengua jina la Wakili Boniface Mwabukusi katika wagombea wa nafasi ya Urais wa TLS.

Hatua hiyo imekuja baada ya kuwekewa mapingamizi na baadhi ya mawakili kuwa hajakidhi vigezo vya kugombea nafasi hiyo.
 
Back
Top Bottom