Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅🤣 Kumbe JAMAA NI UWTTLS haina msaada wowote kwa nchi tena kama ilivyo UWT ya akina Lucas
kwamba nae alijiasses, akajithibitisha na kujiridhisha kwamba anafaa kuwaongoza TLS Kweli? saa zingine mizaha huwa inapitiliza sana aise 🐒Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS katika Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika kwa mwaka 2024
Wanadai hana sifa ya kugombea urais wa chama cha mawakili tanganyika. Mashauriano yanaendelea baada ya maamuzi husika.
PIA SOMA
- Je, Boniface Mwabukusi atafanikiwa kuirejesha TLS kwenye ubora wake?
- Wakili Boniface Mwabukusi hafai na hastahili kuongoza TLS, heshima ya taasisi itashuka mno
- Wakili Mwabukusi Apewa Onyo na Kamati ya Mawakili ya Maadili 'Hatutakiwi Kuogopa'
Swetbert Nkuba for President.Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS katika Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika kwa mwaka 2024
Wanadai hana sifa ya kugombea urais wa chama cha mawakili tanganyika. Mashauriano yanaendelea baada ya maamuzi husika.
PIA SOMA
- Je, Boniface Mwabukusi atafanikiwa kuirejesha TLS kwenye ubora wake?
- Wakili Boniface Mwabukusi hafai na hastahili kuongoza TLS, heshima ya taasisi itashuka mno
- Wakili Mwabukusi Apewa Onyo na Kamati ya Mawakili ya Maadili 'Hatutakiwi Kuogopa'
TLS ilikuwa ngangari chini ya Rais Tundu Lissu na Rais Fatma Karume kabla ya kutekwa nyara na mfumo wa dola (State Capture) chini ya chama dola kongwe kioga CCM.
Mwabukusi ni kama wahuni wengine waliowahi kuongoza na kufanya chama cha wanasheria kugeuka tawi la chama fulani cha siasa!Ni vyema kuxingatia nidhamu popotr tulipo, Mwabukusi mpaka wanasheria wenzake wanamkataa kwa kukosa maadili.
View attachment 3035204
KabisaMwabukusi ni kama wahuni wengine waliowahi kuongoza na kufanya chama cha wanasheria kugeuka tawi la chama fulani cha siasa!
Labda huenda anaumwaNi vyema kuxingatia nidhamu popotr tulipo, Mwabukusi mpaka wanasheria wenzake wanamkataa kwa kukosa maadili.
View attachment 3035204
Naunga mkono .Huyu Bw. hana adabu kabisa.Hana lugha ya stara na ataipunguzia heshima hii taasisi.Mwanasheria gani wa sampuli hii !!!!!!!.Nadhani kauli zake za ovyo zilikuwa na lengo la kutengeneza kiki kwa minajili ya maslahi yake ya baadae lakini kakosea mahesabu.Ndani ya TLS wapo watu wenye akili na heshima zao ambao hawawezi kumkubali mtu mpuuzi kama Mwabukusi.Ni vyema kuxingatia nidhamu popotr tulipo, Mwabukusi mpaka wanasheria wenzake wanamkataa kwa kukosa maadili.
View attachment 3035204