Huyu Mgombea Duni ndio sababu ya kumuengua Mwabukusi, maana huyu kaletwa kwa kificho na ccm ili TLS iwe kitengo cha ccm.
Ikumbukwe kwamba hatukatazi wanaccm kugombea uongozi wa TLS, Tunachopinga ni kuhujumu Wagombea wengine ili Mwanaccm apite kibwege, Hata wakati Lissu anagombea TLS hakuingia kwa kificho, alitangaza wazwazi na wala hakuhujumu Wagombea wengine, wagombea wote waruhusiwe washindane kwa hoja.
View attachment 3036109
Hata hivyo hatutakubali na huu ndio waweza kuwa mwisho wa TLS, lazima tugawane mbao.