Kamati ya Sheria Ndogo ya Bunge

Wanaobeza Polepole kupelekwa Kamati Ndogo ya Sheria ya Bunge hawaijui nguvu ha hiyo Kamati. Na pia hawajui ya kwamba kwa kipindi chote Tundu Lissu alichokaa bungeni alikuwa Mjumbe wa Kamati hiyo! Sasa, kama wanafikiri Polepole ameshushwa thamani, basi wajue pia kumbe haya Tundu Lissu hakuwa lolote akiwa mjumbe wa kamati hii.
 
Nimeuliza powers zake ni zipi
 
Unataka kuchukua sifa kupitia Mgongo wa TL??

😅😅😅
 
Hivi unaakili timamu kufikiria kwamba Lissu wamuweke kwenye kamati ya maana?!
 
Kuwa na adabu na ujifunze kutofautisha kati ya "almasi" na "kipande cha chupa".
 
Mbona umepanic? Jibu swali
 
Unaongea ujinga mtupu!! Kwahiyo ulitegemea Lissu angepangiwa kamati nyeti na nduguyai?
Waliotemwa nafasi za uwaziri wametupiwa humo huwezi jiuliza au unajidai unajua kutetea upuuzi. Mnatamanisha kutukanwa
 
haya umeyatoa wapi katika uzi
 
Sawa ndugu polepole

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Sasa si umepigwa chini uwenyekiti ndio tafsiri yake.
 
Kazi za hiyo kamati ni zipi?
 
Sasa TL kaingizwaje hapo wajeman? Tupe kazi zake yakheeee.
 
Imeulizwa powers zake zikoje na sio haya uliyojibu, tatizo huwa una haraka kama
"kile kitu" kinachokimbizia watu wash room 🤣
 
Wajumbe wake wapya ni Dr. Chamuliho, Dr. Kalemani, na Cde. Polepole. Powers za kamati hii ni zipi?
Hakuna mtu namdharau kama Polepole kwa sasa.
Mtu flan hovyo sana, anadhani zile clip zake hatuna wakati akiwa anajisifu namna anavyotanua na V8 yenye AC 24/7 hata katiba hakuikumbuka.
Leo yuko nje ya ringi anaanza unafiki sijui shule ya uongozi, sijui Katiba.
Pumba.vu zako Polepole acha unafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…