Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ogopa sana umeingia tu ubunge mara ya kwanza ukateuliwa kuwa waziri au naibu then baaadaaaeee sana ukavuliwa uwaziri na kuwa mbunge wa kawaida unateseka sana akili, yaani unarudishwa nyuma ni bora ulisota kwenye ubunge.....then ukateuliwa uwaziri then ukatumbuliwa tena...Wajumbe wake wapya ni Dr. Chamuliho, Dr. Kalemani, na Cde. Polepole. Powers za kamati hii ni zipi?
Kazi ya Kamati ni kupitisha sheria ndogo za mamlaka za serikali za mitaa.Kazi za hiyo kamati ni zipi?
Wanaobeza Polepole kupelekwa Kamati Ndogo ya Sheria ya Bunge hawaijui nguvu ha hiyo Kamati. Na pia hawajui ya kwamba kwa kipindi chote Tundu Lissu alichokaa bungeni alikuwa Mjumbe wa Kamati hiyo! Sasa, kama wanafikiri Polepole ameshushwa thamani, basi wajue pia kumbe haya Tundu Lissu hakuwa lolotekiwa mjumbe wa kamati hii.