Uchaguzi 2020 Kamati ya siasa CCM Mkoa wa Dar, acheni maamuzi ya kuangamiza chama jimbo la Ukonga, mnadhalilisha chama na Uongozi wa juu kwa rushwa!

Magufuli ameshindwa kabisa kuzuia rushwa ndani ya chama chake sijui atawezaje kuondoa rushwa nchini.
 
Yaani bado mnawaza kuchukua jimbo la Ukonga, aisee msahahu huko Ukonga watu hawataki kusikia kitu inaitwa CCM.
 
AFADHALI USHASEMA HUJUI KAMA ANAZO MKUU SABABU HUMJUI ! TAKUKURU KAITWA MARA NGAPI ? MAADILI JE ? SARE ALIZOWASHONEA WANA MAJOHE NI SADAKA ? USITAKE TUMVUE NGUO ZAIDI ? KWANINI ALIPATA KURA KWENYE SANDUKU LA KATA YA MAJOHE TUU ?!?

Mbona TULIA ackson alianza KAMPENI na kutoa takrima (RUSHWA) mapema KABLA ya wakati wa kutia Nia na aliachwa aendelee?
 
Rushwa imetumika mkoa wa dar,Arusha,Mara,mbeya, kilimanjaro,manyara, kuanzia ngazi ya kata Hadi wilaya.kuanzia ngazi ya udiwani Hadi ngazi ya ubunge. Hali hii imechangiwa na wenyeviti wa CCM mkoa na wilaya ili kuniwekea madiwani na wabunge watakao wasaidia kuwafanya kampeni mwaka 2022 kwenye uchaguzi mkuu wa CCM. Makatibu wa CCM wilaya ndio waharibifu wakubwa wa Kura za maoni na ndio wanapokea rushwa kutoka kwao wagombea na kuzipeleka kwa wajumbe.mfano marium Sangito Kaaya katibu wa CCM wilaya ya Moshi ni shidaaaaaaa kuu ndani ya CCM.
 
CCM bila rushwa haiwezekani

Kama huyo Kate Kamba mwenyewe alitumia rushwa kupata huo uenyekiti wa mkoa unadhani ana moral authority ya kukemea hiyo rushwa? Huyo Jerry Slaa mwenyewe si ni mjumbe wa kamati kuu yenu ya ccm au alitoka na Jakaya?
 
Akiongea utadhani kweli ni mzalendo , muadilifu !Kumbe lol, ukijipeleka tu kama dada utatoa mzigo kama kwaHeri James au rushwa ya kutosha. Hana huruma kabisa
Kumbe kheri James nae anakula Rushwa ya Maungoni eeeeenh, hii CCM inatuchafulia sana dada zetu na kizazi chetu, hebu imagine katika umri wa vijana wana practice Rushwa wakiwa wakubwa je, ila aibu hii itaondoka tu pale CCM watakapokua ni Chama Pinzani.
 
Walaji wa rushwa ndani ya CCM ni watu wenye umri wa miaka 40+ na sijui ni njia gani itatumika kupunguza kundi la umri huo ndani ya chama na kuongeza kundi la umri wa 18+ ndani ya chama
 
Kheri James ambae ni mwenyekiti wa UVCCM ana umri gani maana ili uwe na cheo pale kuna umri flani uwe nao.
 
[/QUOTE
95% ya wajumbe wa CCM waliopiga Kura za maoni umri wao ni 45+ na kiwango Cha elimu zao ni STD 7 na kidato Cha nne waliofeli. Kundi hilo ndipo ninalochagua viongozi wa nchi wenye Dr,Prof nk.ili wakawe mawaziri ,madiwani na wabunge.What do you expect?
 
ANAYESEMA NDIO ANACHAFUA CHAMA !?
Hukutakiwa kuyaanika huku nje mambo yanayofanyika ndani, ndio maana unaonekana huna dhamira ya kukisaidia bali kukichafua chama. Taarifa kama hii ina mikondo yake ya kuifikisha, kama huiamini basi ungepeleka TAKUKURU
 
AFADHALI USHASEMA HUJUI KAMA ANAZO MKUU SABABU HUMJUI ! TAKUKURU KAITWA MARA NGAPI ? MAADILI JE ? SARE ALIZOWASHONEA WANA MAJOHE NI SADAKA ? USITAKE TUMVUE NGUO ZAIDI ? KWANINI ALIPATA KURA KWENYE SANDUKU LA KATA YA MAJOHE TUU ?!?
Mkuu kwani kuitwa takukuru ndio kutoa rushwa?. Sisi tunamtaka Mr Masegese, Ukonga inahitaji kijana Muungwana na mchapa kazi.

Mr Masegese namfahamu ni kijana mwenye ushawishi mkubwa ila hana hizo pesa unazodai wewe. Maisha yake pia ya kawaida kabisa. Punguza tu chuki tushikamane kubeba jimbo.
 
UNAMTAKA SIO TUNAMTAKA. HATA KAMA KATUSHONEA SARE SIKU YA KURA YA MAONI TUPO TULIOZIRUDISHA NA KAMA NDIO WEWE MWENYEWE UNALIJUA HILO ! WAKALA WAKO TWALIPO ALIZIRUDISHA NGAPI!
 
Mr Silaa nadhani ungetusaidia sana kwa kufichua hizo rushwa badala ya kulia Lia na kutoa madai ya jumla
Rushwa imetapakaaa CCM nchi nzima.wenyeviti wa CCM mkoa,wilaya,makatibu waccm wilaya,wajumbe,viti maalumu,wenezi,mabalozi wa mashina .Sasa Hali hii ukiendelea 2025 CCM itakuwa KANU .
 
NDIO WAKATI MUAFAKA KWA KAMATI KUU YA CCM KUONDOA HILI KWA VITENDO WALE WALKO SALIA !
 
Rushwa imetapakaaa CCM nchi nzima.wenyeviti wa CCM mkoa,wilaya,makatibu waccm wilaya,wajumbe,viti maalumu,wenezi,mabalozi wa mashina .Sasa Hali hii ukiendelea 2025 CCM itakuwa KANU .
Duh kwaiyo huu Uchaguzi umewapa viongozi na wajumbe umilionea kimasiharamasihara.
 
Walaji wa rushwa ndani ya CCM ni watu wenye umri wa miaka 40+ na sijui ni njia gani itatumika kupunguza kundi la umri huo ndani ya chama na kuongeza kundi la umri wa 18+ ndani ya chama
Huyo jamaa hapo pichani alishagombea u-boss huko UVCCM huku akiwa ni mzee.

Hapo pichani alikua na vijana wenzake kwny after school bash.
1216234_le_mutuz_after_school-1.jpg
 
Back
Top Bottom