Uchaguzi 2020 Kamati ya siasa CCM Mkoa wa Dar, acheni maamuzi ya kuangamiza chama jimbo la Ukonga, mnadhalilisha chama na Uongozi wa juu kwa rushwa!

Hizi taarifa umezipata wapi? Mbona hata kikao cha usalama na maadili cha mkoa hakijakaa bado?
 
Hizi taarifa umezipata wapi? Mbona hata kikao cha usalama na maadili cha mkoa hakijakaa bado?
Wazalamo tunasema "Kalaga baho na ubozi wako" ! Mkoa ushaanua jamvi tangu Ijumaa baba, ngoma ishatua kwa Bashiru A Kakurwa !Hizi sio za kunyapia nyapia, ni "naked truth ". Tunaojua tunajua.
Afu we Chipoku si uko mkoani wewe!?! Unajifanya mzalendo ? Nitafute kabla sijakutaja RASMI
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu tujikite kwenye hoja.

Tusifokeane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…