Kamati ya simba mliyoteua bado inaendelea na kazi au?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kamati ilioteuliwa siku 7 kabla ya derby imeishia wapi

nahisi kwa wakati huu wa mapito mngeitumia ile kamati kuwasaidia mambo ya kiufundi

inavyoonekana simba mtalia mexhi zijazo kwa sababu pale mnapopitia mshinde wenzenu wanapigilia misumari .......

msiiache hii kamamati kama mna mpango wa kusurvive mwaka huu kwenye ligi
 
Ile kamati iliteuliwa baada ya mechi ya yanga kukaribia ili ionekane wazee wameshirikishwa kwenye timu, baada ya mechi ya yanga iyo kamati ni Kama imekufa kifo Cha kawaida itafufuliwa Tena ikikaribia mechi na Azam🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom