Kamati ya Tuzo TFF imetumia vigezo gani kuchagua Beki Bora wa Ligi ya NBC?

Kwanini wanateua wao?
Waweke utaratibu WA Kura Kwa ma captain wa timu za ligi kuu
 
Mkuu Scars sina takwimu sahihi za huyo dogo na Inonga.

Lakini Mabeki usiwapime kwa idadi ya magoli wala assits. Kazi ya msingi ya beki ni kulinda ngome. Ni askari wa mwisho kabla ya kufikiwa golikipa.

Hivyo, kwenye mjadala ainisha takwimu vitu vya msingi ambavyo mlinzi anapaswa kutimiza. Navyo ni blocks, interceptions na clearances.

Je, huyo Dogo ana ngapi na unadhani nani anayestahili? Leta takwimu zao wote wawili.
 
Acha unazi wewe, Job ni beki wa kati na hata ukiangalia msimu wote huu jamaa katumika Sana. Katumiwa kati, kushoto na kulia na kote kacheza vema.
Category ya tuzo inaangazia eneo la beki, haijakishi ni beki wa kati au beki wa pembeni na hata kwenye kinyangal'anyio waliwekwa wote.

Na hata tukija kwenye hoja yako ya beki wa katia, kwani Enonga sio beki wa kati?

Sasa unaweza ukaleta stats hapa zinazoonesha Dickson Job ni bora kumzidi Enonga?
 
Umemaliza kila kitu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…