Kamati ya Tuzo TFF imetumia vigezo gani kuchagua Beki Bora wa Ligi ya NBC?

Mkuu Scars sina takwimu sahihi za huyo dogo na Inonga.

Lakini Mabeki usiwapime kwa idadi ya magoli wala assits. Kazi ya msingi ya beki ni kulinda ngome. Ni askari wa mwisho kabla ya kufikiwa golikipa.

Hivyo, kwenye mjadala ainisha takwimu vitu vya msingi ambavyo mlinzi anapaswa kutimiza. Navyo ni blocks, interceptions na clearances.

Je, huyo Dogo ana ngapi na unadhani nani anayestahili? Leta takwimu zao wote wawili.
Simba wamefungwa goli chache kuliko timu zote. Hili nalo mkalitazame. Hii tuzo ilikuwa ya Kapombe au Inonga.

Tanzania hatuna uwezo wa kuendesha tuzo za aina yoyote ile. Siku zote tunazivuruga tu.
 
Jamani ebu tufahamishane vizuri hapa wote tujue.

Dickson Job kapewa tuzo ya Beki Bora kwa Criteria gani?

Haya tuliyaona TMA na tuzo zao za CUBA, leo hii kwenye NBC mambo kama yanajirudia.
Kubalance.

Wapuuzi eti wanapiga kura kupata mshindi
 
Nimeweka data zote hapo.

Club ya Simba imefungwa magoli machache kuliko Club yeyote.

Kwa maana ya kwamba defense line ilikuwa bora kuliko timu nyingine

Licha ya kuwa imara kwenye ulinzi bado mabeki hao wamekupa kitu kingine cha ziada.

Wane assist na wame score, sasa kipi ambacho huyo Dickson Job amekifanya kuwazidi hawa.

Msiishie kusema kazi ya beki sio ku assist, leteni hoja zinazoonesha Dickson Job alistahili.
Wewe ni Pimbi, Simba imeruhusu Magoli kwenye MECHI NYINGI zaidi. Nusu ya mechi walizocheza Simba wameruhusu goli.

Unaona Yanga wameruhusu magoli mengi but ni mechi chache tu.

Hii maana yake ni kwamba kwa msimu mzima Yanga wametengeneza Clean sheet nyingi kuliko timu yoyote ile hapa Bongo.

Ubora wa safu ya ulinzi ni Idadi ya Clean sheet.
 
Ukirejea kauli ya Rage kuhusu umbumbumbu wao mimi sijisumbui kuwaelekeza.
 
Wewe ni Pimbi, Simba imeruhusu Magoli kwenye MECHI NYINGI zaidi. Nusu ya mechi walizocheza Simba wameruhusu goli.

Unaona Yanga wameruhusu magoli mengi but ni mechi chache tu.

Hii maana yake ni kwamba kwa msimu mzima Yanga wametengeneza Clean sheet nyingi kuliko timu yoyote ile hapa Bongo.

Ubora wa safu ya ulinzi ni Idadi ya Clean sheet.
Umesoma vizuri ulichokiandika lakini?

Umeonesha kwamba timu (Simba) ambayo imeruhusu magoli mengi kwenye mechi nyingi, kuwa ndio dhaifu.

Na timu (Yanga) ambayo imeruhusu magoli mengi kwenye mechi chache ndio bora.

Hii ni akili ya wapi?

Maana yake hapo inaonesha kuwa ili Simba ifungwe magoli mengi itahitajika mechi nyingi zaidi.

Wakati Yanga ili ifungwe mabao mengi itahitajika mechi chache tu.

Sasa hapo unaona nani mwenye ulinzi imara kwenye defense line?
 
Ndio ni Dhaifu maana nusu ya mechi zote mliruhusu magoli. Yanga wameonesha ubora wa safu ya ulinzi katika mechi 19 za ligi msimu huu.

Simba ni mechi ngapi hawajaruhusu goli?
 
We jamaa kama sio bambo basi kingwendu.

Kiufupi unachekesha

Yani timu iliyochukua mechi nyingi kufungwa goli nyingi ni dhaifu dhidi ya timu iliyofungwa goli nyingi kwenye mechi chache?

Aiseeeee
 
Jamani ebu tufahamishane vizuri hapa wote tujue.

Dickson Job kapewa tuzo ya Beki Bora kwa Criteria gani?

Haya tuliyaona TMA na tuzo zao za CUBA, leo hii kwenye NBC mambo kama yanajirudia.
nani unadhani anastahili iyo tuzo na kwa vigezo gani???
 
Simba ndio imefungwa magoli machache hiyo inaonyesha kuwa Simba ilikuwa na beki Bora sema hizi tuzo ni kubebana ni sawa na wakati ule walipompa Bocco badala ya Chama
Imefungwa magoli machache kwahyo wamechukua kombe? Subiri tuzo ya kufungwa magoli machache
 
Back
Top Bottom