Kamati ya Tuzo TFF imetumia vigezo gani kuchagua Beki Bora wa Ligi ya NBC?

Kamati ya Tuzo TFF imetumia vigezo gani kuchagua Beki Bora wa Ligi ya NBC?

Maana yake Yanga imeruhusu magoli mengi kwenye mechi moja ilihali Simba machache kwenye mechi moja.
Kwa mantiki hiyo beki ya Yanga ilikuwa mbovu
Nichangie hela mimi nipeleke malalamiko haya CAS
 
Kama ambavyo Mayele kapewa MVP vigezo ni vipi?? To me Saidooo alistahili...
Acha roho mbaya mkuu mnyonge mnyongeni haki yake mpeni... Au unaona saidoo anastahili baada ya zile goli 5 za mchongo
 
Simba ndio imefungwa magoli machache hiyo inaonyesha kuwa Simba ilikuwa na beki Bora sema hizi tuzo ni kubebana ni sawa na wakati ule walipompa Bocco badala ya Chama
 
Jamani ebu tufahamishane vizuri hapa wote tujue.

Dickson Job kapewa tuzo ya Beki Bora kwa Criteria gani?

Haya tuliyaona TMA na tuzo zao za CUBA, leo hii kwenye NBC mambo kama yanajirudia.
Wewe ulitaka apewe nani labda! Tuanzie hapo!
 
Msimu uliopita yanga alifungwa magoal machache ila beki bora alikua INONGA msimu huu simba amefungwa magoal machache ila beki bora JOB ngoma draw
20230613_092909.jpg
 
Simba ndio imefungwa magoli machache hiyo inaonyesha kuwa Simba ilikuwa na beki Bora sema hizi tuzo ni kubebana ni sawa na wakati ule walipompa Bocco badala ya Cham

simba ana magoli mengi pia kuliko yanga ko ana stahili kuchukua ubingwa wamewaonea T.F.F hawafai hahahahah
 
Kazi ya beki sio kuassist waache kimbelembele
Nimeweka data zote hapo.

Club ya Simba imefungwa magoli machache kuliko Club yeyote.

Kwa maana ya kwamba defense line ilikuwa bora kuliko timu nyingine

Licha ya kuwa imara kwenye ulinzi bado mabeki hao wamekupa kitu kingine cha ziada.

Wane assist na wame score, sasa kipi ambacho huyo Dickson Job amekifanya kuwazidi hawa.

Msiishie kusema kazi ya beki sio ku assist, leteni hoja zinazoonesha Dickson Job alistahili.
 
Back
Top Bottom