Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #21
Hata nikitumia hoja yako bado inaonesha Dickson Job hakustahili tuzo hiyo.Mkuu Scars sina takwimu sahihi za huyo dogo na Inonga.
Lakini Mabeki usiwapime kwa idadi ya magoli wala assits. Kazi ya msingi ya beki ni kulinda ngome. Ni askari wa mwisho kabla ya kufikiwa golikipa.
Hivyo, kwenye mjadala ainisha takwimu vitu vya msingi ambavyo mlinzi anapaswa kutimiza. Navyo ni blocks, interceptions na clearances.
Je, huyo Dogo ana ngapi na unadhani nani anayestahili? Leta takwimu zao wote wawili.
Kwasababu ukiangalia utaona Simba ndio timu pekee iliyoruhusu mabao machache kuliko timu nyingine yeyote.
Hiyo inatosha kuonesha ubora mkubwa wa beki za Simba katika kulinda.
Lakini zimekuja na double profit yani licha ya role yao kuwa ni ulinzi bado wamekuja kuku offer extra thing kwenye eneo la mwisho.
Mabeki wana assist kushinda hata hao viungo wenu.
Mabeki wana magoli kushinda hata hao viungo wenu ambao role zao ni kushambulia.
So unapokuja kupuuza hizi stats na kumteua mtu mwingine ambaye hajafikia vigezo hivi unakuwa unamaana yako binafsi ya beki bora unayoijua wewe na dunia yako.