LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #21
Benchi walinikosea sana. Halafu kibaya zaidi unampanga Metacha! Kweli?? Metacha??? Of all the people unaenda kumuweka Metacha MNATO golini.Maelezo mengi sana. Mkuu tumeshafungwa tujipange na mechi ijayo na Ahly Lupaso. Naamini wachezaji watakua wamepata muda wa kutosha kupumzika na kujifanyia tafakari wapi walikosea pamoja na bench lote
Goli la tatu alilo fungwa hata Zuchu hawezi fungwa hivyo aisee.
Kama Metacha Mnato angekuwa mwanamke ningesema pale Yanga kuna mume wake