Kamati ya ufundi Yanga walimhujumu Likud kwenye mechi dhidi ya CR Belouzdad

Maelezo mengi sana. Mkuu tumeshafungwa tujipange na mechi ijayo na Ahly Lupaso. Naamini wachezaji watakua wamepata muda wa kutosha kupumzika na kujifanyia tafakari wapi walikosea pamoja na bench lote
Benchi walinikosea sana. Halafu kibaya zaidi unampanga Metacha! Kweli?? Metacha??? Of all the people unaenda kumuweka Metacha MNATO golini.


Goli la tatu alilo fungwa hata Zuchu hawezi fungwa hivyo aisee.

Kama Metacha Mnato angekuwa mwanamke ningesema pale Yanga kuna mume wake
 
Vizuri kwa kumtetea mumeo aisee unampenda sana hadi kumfollow,, kama vipi sepa nae
Usinitukane basi sister? Niheshimu kwani sijakutukana dada yangu. Mimi dingi la mishe sitaki ugomvi nawe dada yangu kipenzi.
 
Siku hizi kuna wataalam wa kuhack michongo,, hadi hivyo vidude mnavyotumia kutabiri watu wana hack tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…