Kamati ya Usajili Simba SC waondoeni kina Kibu, Mutale, Ahoua, Balua, Kapombe na Shabalala. Leteni wachezaji wanaojielewa

Yanga ni kama P Diddy Kila timu itapakwa mafuta tu,sema kiwango Cha mafuta kinaweza kuwa tofauti tofauti,mfano Simba alipakwa chupa 7, jana kapakwa 1 bado chupa 7 ili zikamilike chupa 8 za msimu huu.
Ndo hii mihemko ninayokuambia. Mgumba kachelewa hedhi sijui akipata mimba itakuaje.
 
Ndo hii mihemko ninayokuambia. Mgumba kachelewa hedhi sijui akipata mimba itakuaje.
Lazima tuhemke ili isimame afu ndo tuwapaka mafuta mbumbumbu, ndo timu ambayo inatufilisi mafuta sababu tunaipaka mara kwa mara chupa nyingi zinatumika
 
Lazima tuhemke ili isimame afu ndo tuwapaka mafuta mbumbumbu, ndo timu ambayo inatufilisi mafuta sababu tunaipaka mara kwa mara chupa nyingi zinatumika
Mihemko akilini.
 
na bila kuhemka haisimami, so tutakupakaje mafuta mbumbumbu?!
Wewe naonekana haupo kwenye kundi la wenye mihemko kwenye soka, wewe ipo kwenye kundi la wapenda ngono.
 
Awesu alipokua KMC aliisumbua yanga sana sjui kwann hakupewa nafasi Jana.
KMC hii iliyo pigwa tano nje ndani na Yanga msimu uliopita ndiyo iliyo sumbuliwa na Awesu ? Kweli ndugu yangu....
 
Wewe naonekana haupo kwenye kundi la wenye mihemko kwenye soka, wewe ipo kwenye kundi la wapenda ngono.
mpakwa mafuta unawaza ngono tu! 😂😂
 
Uko sahihi kabisa mkuu. Hili swala la kibu nilishajiuliza Sana. Kwani kila anapofanyiwa sub lazima simba ipotee?
 
Reactions: Tsh
Uko sahihi kabisa mkuu. Hili swala la kibu nilishajiuliza Sana. Kwani kila anapofanyiwa sub lazima simba ipotee?
Kibu anatumia nguvu mno kuipigania Simba. Nimeangalia clip zake jamaa ni kama anakamiwa pia, anachezewa rafu mno na si refa wala mashabiki wanaomlinda.
 
Swala sio kufungwa swala ni mchezaji individual aliperfom
Individual performance kweli ,mechi niliziona zote na sikuona alicho kifanya, okay tuanze statically Awesu alifanya siku hiyo?
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
 
Unawaza ngono sana mkuu. Akili imejaa mambo ya ngono tu mpaka mifano yako ni ngono tu.
wewe mpakwa mafuta ndo umeleta neno ngono hapa, sababu ndo kitu unawaza
 
Yanga ni kama P Diddy Kila timu itapakwa mafuta tu,sema kiwango Cha mafuta kinaweza kuwa tofauti tofauti,mfano Simba alipakwa chupa 7, jana kapakwa 1 bado chupa 7 ili zikamilike chupa 8 za msimu huu.
Hivi unajua unachoongea lakini? Kwa hiyo wewe fantasy yako ni kumuingia mwanaume mwenzio kingono?
 
Ndiyo maana nimekuuliza unajua unachoongea au kama jamaa anavyokwambia umejaa muhemko
wewe na huyo jamaa yako mna kimuhemuhe cha kupakwa mafuta mara nne mfululizo
 
wewe mpakwa mafuta ndo umeleta neno ngono hapa, sababu ndo kitu unawaza
Rejea hoja zako utajionea huruma. Unamuwaza sijui pididi mwenye kashfa ya ufiraji mpaka watoto, unawaza mafuta yaani ubongo umechafuka upo tepetepe ndembendembe.
 
wewe na huyo jamaa yako mna kimuhemuhe cha kupakwa mafuta mara nne mfululizo
Umeshatuambia wewe hisia zako zinazokuendesha zinakuvutia kupaka mafuta ili kuingilia wanaume wenzio kingono. Kwa definition, wewe ni shoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…