Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Ndo hii mihemko ninayokuambia. Mgumba kachelewa hedhi sijui akipata mimba itakuaje.Yanga ni kama P Diddy Kila timu itapakwa mafuta tu,sema kiwango Cha mafuta kinaweza kuwa tofauti tofauti,mfano Simba alipakwa chupa 7, jana kapakwa 1 bado chupa 7 ili zikamilike chupa 8 za msimu huu.