Kamati ya Usajili Simba SC waondoeni kina Kibu, Mutale, Ahoua, Balua, Kapombe na Shabalala. Leteni wachezaji wanaojielewa

5imba ni mbumbumbu sana... Coach wenu na wachezaji wenu useless walishindwa kutegua mtego wa Gamond ktk kipindi cha kwanza... Dk45 za kwanza Yanga walimuacha 5imba amiliki mpira ktk half space yao na wachezaji wa Yanga walikabia chini katikat ya uwanja... Hii maana yake Gamond aliwaacha 5imba wajichoshe kiakili na kimwili ktk kuifungua Yanga....
Kipindi cha pili Gamond aliwaruhusu wachezaji wake wakabie juu tena kwenye 18 ya mpinzani ndio maana mlikuwa mnaona Aziz alikuwa anamkumbusha Dube kukabia juu, maana yake high press itawapotoa 5imba mchezoni... Na Gamond alipoona 5imba wameanza kuingia ktk mfumo akawaingiza Mzize na Musonda 😂😅 hapa ndipo Gamond aliitaka mechi iishe kwa ushindi... Alivyo na roho mbaya akamuingiza Chama ambaye aliingia kwa lengo la kutoa pasi za magoli tu kwasababu 5imba ilikuwa tayari imetepeta na kuruhusu mianya...
5imba mngeamua kuwa watulivu kipindi cha pili ilitakiwa mcheze kama Yanga walivyo cheza kipindi cha kwanza, na mngefanya hivi mechi ingeisha 0-0

Next time mheshimuni Gamond huyu mzee anajua mpira ndani na nje ya uwanja...
 
Rejea hoja zako utajionea huruma. Unamuwaza sijui pididi mwenye kashfa ya ufiraji mpaka watoto, unawaza mafuta yaani ubongo umechafuka upo tepetepe ndembendembe.
nawaza Yanga jinsi ilivyowapaka mafuta mbumbumbu mara nne mfululizo
 
Umeshatuambia wewe hisia zako zinazokuendesha zinakuvutia kupaka mafuta ili kuingilia wanaume wenzio kingono. Kwa definition, wewe ni shoga
😂😂😂mpakwa mfuta buana! shoga ni wewe unayepakwa mafuta.
 
hoja yangu ni mbumbumbu kupakwa mafuta mara nne mfululizo,
Sasa mpira na mafuta sijui pididi wapi na wapi, Embu jisahihishe mkuu kwa usalama wa afya yako ya akili.

Ubongo unawaza kupakana mafuta tu boss? Mafuta sijui pididi? Kweli kabisa yaani katika mifano yoote ya kulinganisha ushindi wa timu yako ubongo wako ukaja na pididi na mafuta?
 
kweli kabisa mfano halisi wa hizo dozi alizogawa Yanga kwa mbumbumbu ni kama didy anavyopaka watu mafuta, Mbona nyie club yenu tena viongozi kabisa wa timu kwenye tukio kubwa kabisa la timu yenu katika mifano yooote ya kukejeli Yanga mkaamua kuleta jeneza kwa mkapa, si bora nyie tunawapaka mafuta tu lakini nyie mlituweka kwenye jeneza na kutufanyia mazishi😭😭
 
Reactions: Tsh
Kibu anatumia nguvu mno kuipigania Simba. Nimeangalia clip zake jamaa ni kama anakamiwa pia, anachezewa rafu mno na si refa wala mashabiki wanaomlinda.
Mchezaji msimu mzima ana goli moja nani amkamie
 
Si Bado mnajenga timu ....mkifikia kwenye lenta mtatuambia ....
 
Kibu anatumia nguvu mno kuipigania Simba. Nimeangalia clip zake jamaa ni kama anakamiwa pia, anachezewa rafu mno na si refa wala mashabiki wanaomlinda.
Siku hizi kawa Mzururaji mzuri tu hana tofauti na mla mshahara bure 😁

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Reactions: Tsh
Viongozi walikuwa wabaya kiasi hicho na bado timu ikachukua ubingwa mara nne mfulilizo , Je, wangekuwa wazuri wangefanya nini?
 
Haya mkuu.
 
Simba ina wachezaji wazuri tu, kuwapata wazuri zaidi ya hawa waliopo itahitaji uvumilivu kutokana na uwezo mdogo wa kifedha. Wachezaji wa Simba wasionekane wabaya kisa kufungwa na Yanga sababu Yanga wanaweza mfunga yeyote Afrika hii.
Simba mchezaji Debora tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…