Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
5imba ni mbumbumbu sana... Coach wenu na wachezaji wenu useless walishindwa kutegua mtego wa Gamond ktk kipindi cha kwanza... Dk45 za kwanza Yanga walimuacha 5imba amiliki mpira ktk half space yao na wachezaji wa Yanga walikabia chini katikat ya uwanja... Hii maana yake Gamond aliwaacha 5imba wajichoshe kiakili na kimwili ktk kuifungua Yanga....
Kipindi cha pili Gamond aliwaruhusu wachezaji wake wakabie juu tena kwenye 18 ya mpinzani ndio maana mlikuwa mnaona Aziz alikuwa anamkumbusha Dube kukabia juu, maana yake high press itawapotoa 5imba mchezoni... Na Gamond alipoona 5imba wameanza kuingia ktk mfumo akawaingiza Mzize na Musonda 😂😅 hapa ndipo Gamond aliitaka mechi iishe kwa ushindi... Alivyo na roho mbaya akamuingiza Chama ambaye aliingia kwa lengo la kutoa pasi za magoli tu kwasababu 5imba ilikuwa tayari imetepeta na kuruhusu mianya...
5imba mngeamua kuwa watulivu kipindi cha pili ilitakiwa mcheze kama Yanga walivyo cheza kipindi cha kwanza, na mngefanya hivi mechi ingeisha 0-0
Next time mheshimuni Gamond huyu mzee anajua mpira ndani na nje ya uwanja...