Kamati ya Usajili Simba SC waondoeni kina Kibu, Mutale, Ahoua, Balua, Kapombe na Shabalala. Leteni wachezaji wanaojielewa

Kwahiyo unataka kusema kuwa simba ichezapo na yanga hizi beki za pembeni zinatakiwa kukaa nyuma tu kwa kuogopa kushambuliwa?
hujui analysis mkuu sikuzote unaangalia quality ya mpinzani then uangalie jinsi ya kucover hizo weakness kitu ambacho kocha aliwin first half so far mabeki wa pembeni wangekuwa wanapanda wangeacha magap kitu ambacho kingeleta madhara kwetu kulingan na quality ya mawinga na viungo wa Yanga sahv tungekuw tunaongea mambo mengine
 
Kuweni na subira.. timu inajijenga. Shida yenu mnataka an overnight process
Simba wachezaji hawana spirit ya kupambana kama Yanga. Labda naomba kufahamu kipindi Yanga wako vibaya na Simba kutwaa taji misimu minne mfululizo, je Simba waliweza kumfunga Yanga mechi nne mfululizo?
Simba ni mbovu kwa Yanga katika kipindi hiki, acheni maneno ya kujifariji bana
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Udhaifu wa Simba upo wazi si kwa Yanga tu ila hata mechi nyingine. Pumzi hukata kipindi cha pili mapema mno.

Jana baada ya HT tu nikajua tushapigwa maana Yanga ndo huwa wakali mno huo wakati. Kocha afanyie kazi pumzi, wachezaji wawe aggressive zaidi kipindi cha pili.

Huwa tunamlaumu sana Kibu ila kila akitoka ndo tunapoteza halafu kibu nadhani anajua hapendwi na mashabiki wa timu yake, anatumia nguvu kubwa mno kuwabadili mawazo.
 
Nimeutizama mpira jana safu yetu ya ushambuliaji ukimtoa Ateba hakuna mwingine aliyekuwa anaelewa nini timu inatakiwa kufanya.

Nikiri tu kusema Simba tumepata kocha mzuri sana ila tatizo lipo kwenye magarasa aliyoletewa na yale aliyoyakuta.

Najiuliza aliyemleta Mutale na Ahoua alifikiria nini aisee? Hawa jamaa sio level ya Simba. Hawaeleweki na hawajui nini wanatakiwa kufanya zaidi ya kukimbia na kuanguka ovyo uwanjani.

Bado kuna mrundi Kibu aisee huyu jamaa ni kichomi, anachojua yeye ni kukaa na mpira muda mrefu ili afanyiwe fouls, hana maamuzi mazuri uwanjani anachojua ni kukimbia tu pale anapopewa mpira mwisho wa safari akiguswa kidogo ni kuanguka na kubingirika.

Yaani mara mia angecheza Awesu Awesu. Kamati ya Usajili iache janja janja kutafuna pesa za mwekezaji bila ya huruma. Pia Shabalala na Kapombe watupishe kwenye timu, ni aina ya zile beki namba mbili na tatu na zamani ambao wao hukaa nyuma na kuwaacha mawinga mbele.

Timu inakosa balance kwenye kushambulia na hawa tunaposhambuliwa sio wazuri kuzuia. Wat watatu nyuma ya Ateba ni ovyo pamoja na mabeki wa pembeni.
Yani nyie Kila mkila Chuma na wananchi munataka Mo asajili upya, kwani Mo ni baba yenu?, na mnazani hela zake hana kitu kingine cha kuifanyia?, mara ngapi anawaambia kuwa Simba inamtia hasara!?
 
Simba wachezaji hawana spirit ya kupambana kama Yanga. Labda naomba kufahamu kipindi Yanga wako vibaya na Simba kutwaa taji misimu minne mfululizo, je Simba waliweza kumfunga Yanga mechi nne mfululizo?
Simba ni mbovu kwa Yanga katika kipindi hiki, acheni maneno ya kujifariji bana
Simba haina ubovu huo wa kiwango cha juu zaidi ya nyinyi vyura kulazimisha iwe hivyo. Kwanza huwa mnakuwa na mihemko sana mkitufunga, hamzoei kutufunga.

Simba inaimarika kila siku na hili ni tatizo kwa vyura, Top player wa Yanga kama Aziz, wenzao walizurura tu uwanjani mpaka mistake ya Kinjili ilipotikea na kuzaa goli.
 
Mimi sio chura wala mnyama, nimetoa tu observation yangu kama mpenda soka huru.
 
SELEMAN MATOLA KANG'ANG'NIA KUKAA BENCHI LA UFUNDI MIAKA NENDA RUDI. MAKOCHA WANAKUJA WANAFUKUZWA YEYE YUPO TU. YAANI YEYE NDIE ANASHAURI KOCHA ABAKI AU ALETWE MWINGINE.
 
Ila kwa Ateba Simba mmejipata. Ila kila nikikumbuka yanga ya msimu wa 2020/2021 yakina balama mapinduzi ikitoa sale na Simba iliyo sheheni kila aina ya nyota nabaki kusema wachezaji wa yanga wanajuwa kupambania timu yao.
 
Yani nyie Kila mkila Chuma na wananchi munataka Mo asajili upya, kwani Mo ni baba yenu?, na mnazani hela zake hana kitu kingine cha kuifanyia?, mara ngapi anawaambia kuwa Simba inamtia hasara!?
Unaongea ushubwada wakati-wanya
 
Ila kwa Ateba Simba mmejipata. Ila kila nikikumbuka yanga ya msimu wa 2020/2021 yakina balama mapinduzi ikitoa sale na Simba iliyo sheheni kila aina ya nyota nabaki kusema wachezaji wa yanga wanajuwa kupambania timu yao.
kipindi kile simba tuliwazidi lakini sio kiivo sana ndio maana hata yanga waliweza kupambana wakapata sare leo hii yanga katupiga gepu kubwa sana kuliko hata tulivyo mzidi sisi miaka ile just imagine second half hata pasi 4 kupiga ilikuwa mtihani,yanga haikuwa mbovu sana hela tu ndio walikua hawana. We have everything but still tunastruggle why? Hatuna viongozi wenye uchungu na simba wengi wao ni mamluki,wasaliti,wezi,wapigaji,waongo,ndumilakuwili wanajali matumbo yao tu.
 
Nimeutizama mpira jana safu yetu ya ushambuliaji ukimtoa Ateba hakuna mwingine aliyekuwa anaelewa nini timu inatakiwa kufanya.

Nikiri tu kusema Simba tumepata kocha mzuri sana ila tatizo lipo kwenye magarasa aliyoletewa na yale aliyoyakuta.

Najiuliza aliyemleta Mutale na Ahoua alifikiria nini aisee? Hawa jamaa sio level ya Simba. Hawaeleweki na hawajui nini wanatakiwa kufanya zaidi ya kukimbia na kuanguka ovyo uwanjani.

Bado kuna mrundi Kibu aisee huyu jamaa ni kichomi, anachojua yeye ni kukaa na mpira muda mrefu ili afanyiwe fouls, hana maamuzi mazuri uwanjani anachojua ni kukimbia tu pale anapopewa mpira mwisho wa safari akiguswa kidogo ni kuanguka na kubingirika.

Yaani mara mia angecheza Awesu Awesu. Kamati ya Usajili iache janja janja kutafuna pesa za mwekezaji bila ya huruma. Pia Shabalala na Kapombe watupishe kwenye timu, ni aina ya zile beki namba mbili na tatu na zamani ambao wao hukaa nyuma na kuwaacha mawinga mbele.

Timu inakosa balance kwenye kushambulia na hawa tunaposhambuliwa sio wazuri kuzuia. Wat watatu nyuma ya Ateba ni ovyo pamoja na mabeki wa pembeni.
KUMEKUCHA...
 
Simba haina ubovu huo wa kiwango cha juu zaidi ya nyinyi vyura kulazimisha iwe hivyo. Kwanza huwa mnakuwa na mihemko sana mkitufunga, hamzoei kutufunga.

Simba inaimarika kila siku na hili ni tatizo kwa vyura, Top player wa Yanga kama Aziz, wenzao walizurura tu uwanjani mpaka mistake ya Kinjili ilipotikea na kuzaa goli.
😂😂😂 mbumbumbu buana! 🙌🙌
 
Simba ina wachezaji wazuri tu, kuwapata wazuri zaidi ya hawa waliopo itahitaji uvumilivu kutokana na uwezo mdogo wa kifedha. Wachezaji wa Simba wasionekane wabaya kisa kufungwa na Yanga sababu Yanga wanaweza mfunga yeyote Afrika hii.
 
Hahaha, Vyura mkiifunga simba huwa mnamihemko kama mgumba aliyechelewa hedhi. Hamtulii.
Yanga ni kama P Diddy Kila timu itapakwa mafuta tu,sema kiwango Cha mafuta kinaweza kuwa tofauti tofauti,mfano Simba alipakwa chupa 7, jana kapakwa 1 bado chupa 7 ili zikamilike chupa 8 za msimu huu.
 
Back
Top Bottom