PreGE2025 Kamati ya Ushauri Mkoa wa Dar waridhia jimbo la Ukonga ligawanywe mara mbili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es salaam (RCC) ikiongozwa Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila leo Machi 24, 2024 imepokea na kuridhia mapendekezo ya Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Ilala (DCC) ya kuligawa jimbo la Ukonga lililopo Wilaya ya Ilala kuwa majimbo mawili ambayo ni jimbo la Ukonga na jimbo Kivule ambapo mchakato unaofuata ni kuwasilisha mapendekezo hayo kwenye mamlaka husika ikiwemo OR-TAMISEMI ili kupata ridhaa.

Akizungumza leo jijini Dar es salaam katika mkutano wa RCC mara baada ya kupokea mapendekezo hayo, RC Chalamila amesema mapendekezo hayo yamelenga kuboresha huduma kwa kuzingatia jimbo hilo ni kubwa na lina idadi kubwa ya watu hivyo kamati imepokea mapendekezo hayo na yatawasilishwa ngazi zingine kwa maamuzi zaidi

Soma pia: Shinyanga: Madiwani wapitisha pendekezo la Jimbo la Solwa kugawanywa mara mbili

Aidha RC Chalamila amesema baada ya kugawanywa jimbo jipya la Kivule litakua na kata sita ambazo ni Kipunguni, Mzinga, Msongola, Kitunda, Kivule na Majohe, jimbo hilo lina kilometa za mraba 128, idadi ya watu 431,736 na Jimbo la ukonga likibaki na Kata saba ambazo ni Ukonga, Chanika, Gongo la Mboto, Zingiziwa, Buyuni na Pugu Station likiwa na idadi ya watu 490,121.

Watu wanajitengenezea ugali wao kimyakimya
 
Ssrikali za wenzetu zina downsize sisi tunawaza ku expand in the name of politics?
 
Jimbo la Kawe nalo ligawanywe lipatikane Jimbo la Tegeta au Bunju.
 
Hili jimbo ni korofi, naweza kusema kwa Dar ndiyo lilikuwa kinaongoza kwa ubovu wa miundo mbinu iliyochangiwa na jiografia yake mbovu yaani jimbo limegawanywa na barabara ya pugu hata hivyo hili jimbo jipya la kivule anatakiwa mbunge mchapa kazi haswa maana kuna tia aibu hasa kipindi cha mvua
 
Attachments

  • Screenshot_20250324_214815_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20250324_214815_Samsung Internet.jpg
    316.5 KB · Views: 39
RCC DSM YARIDHIA MAPENDEKEZO YA KUGAWA JIMBO LA UKONGA

-Jimbo la Ukonga linapendekezwa kugawanywa na kuunda jimbo jipya la Kivule.

Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es salaam (RCC) ikiongozwa Mkuu wa Mkoa huo Mhe Albert Chalamila leo Machi 24, 2024 imepokea na kuridhia mapendekezo ya Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Ilala (DCC) ya kuligawa jimbo la Ukonga lililopo Wilaya ya Ilala kuwa majimbo mawili ambayo ni jimbo la Ukonga na jimbo Kivule ambapo mchakato unaofuata ni kuwasilisha mapendekezo hayo kwenye mamlaka husika ikiwemo OR-TAMISEMI ili kupata ridhaa.

Akizungumza leo jijini Dar es salaam katika mkutano wa RCC mara baada ya kupokea mapendekezo hayo, RC Chalamila amesema mapendekezo hayo yamelenga kuboresha huduma kwa kuzingatia jimbo hilo ni kubwa na lina idadi kubwa ya watu hivyo kamati imepokea mapendekezo hayo na yatawasilishwa ngazi zingine kwa maamuzi zaidi

Aidha RC Chalamila amesema baada ya kugawanywa jimbo jipya la Kivule litakua na kata sita ambazo ni Kipunguni, Mzinga, Msongola, Kitunda, Kivule na Majohe, jimbo hilo lina kilometa za mraba 128, idadi ya watu 431,736 na Jimbo la ukonga likibaki na Kata saba ambazo ni Ukonga, Chanika, Gongo la Mboto, Zingiziwa, Buyuni na Pugu Station likiwa na idadi ya watu 490,121.

Awali akiwasilisha taarifa ya mapendelezo ya ugawaji wa jimbo la Ukonga kwa niaba ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es salaam Bwana Saloni Asheri Nyika ambae ni Katibu Tawala Msaidizi Usimamizi,Ufuatiliaji na Ukaguzi Mkoa huo amesema baada ya mapendekezo hayo ofisi ya katibu Tawala Mkoa ilituma wataalamu ambao walikwenda kujiridhisha na kubaini ni kweli jimbo hilo linahitaji kugawanywa na vigezo vyote vilizingatiwa ikiwemo Idadi ya watu pamoja na shughuli za kiuchumi

Kwa upande wa Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa Mkoa wa Dar es Salaam Juma Simba Gadafi amesema kwenye kutazama maslahi ya wananchi ni muhimu kuacha ubinafsi kwani kugawanya majimbo ni kuboresha huduma kwa wananchi
 
Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es salaam (RCC) ikiongozwa Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila leo Machi 24, 2024 imepokea na kuridhia mapendekezo ya Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Ilala (DCC) ya kuligawa jimbo la Ukonga lililopo Wilaya ya Ilala kuwa majimbo mawili ambayo ni jimbo la Ukonga na jimbo Kivule ambapo mchakato unaofuata ni kuwasilisha mapendekezo hayo kwenye mamlaka husika ikiwemo OR-TAMISEMI ili kupata ridhaa.

Akizungumza leo jijini Dar es salaam katika mkutano wa RCC mara baada ya kupokea mapendekezo hayo, RC Chalamila amesema mapendekezo hayo yamelenga kuboresha huduma kwa kuzingatia jimbo hilo ni kubwa na lina idadi kubwa ya watu hivyo kamati imepokea mapendekezo hayo na yatawasilishwa ngazi zingine kwa maamuzi zaidi

Soma pia: Shinyanga: Madiwani wapitisha pendekezo la Jimbo la Solwa kugawanywa mara mbili

Aidha RC Chalamila amesema baada ya kugawanywa jimbo jipya la Kivule litakua na kata sita ambazo ni Kipunguni, Mzinga, Msongola, Kitunda, Kivule na Majohe, jimbo hilo lina kilometa za mraba 128, idadi ya watu 431,736 na Jimbo la ukonga likibaki na Kata saba ambazo ni Ukonga, Chanika, Gongo la Mboto, Zingiziwa, Buyuni na Pugu Station likiwa na idadi ya watu 490,121.

Najiandaa kwa fursa hii.....
 
Mbunge hana bajeti,sioni umuhimu wa kugawagawa majimbo,ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri inatakiwa kuwajibika vilivyo kuwaletea maendekeo watu wake sio nbunge
 
Wananchi wenyewe ndio hawa toothless licha ya wingi wao
Kuna njia nyingi sana wananchi wanaweza kuonyesha hasira zao kama wanaogopa kutoka kuandamana. 1. Rais anapofanya ziara wajitokeze kwa wingi sana halafu wazomee anapoanza kuhutubia. 2. Kususia kwenda mpirani 3. Kutojitokeza kwenye shughuli za serikali 4. kususia TV, radio na wasanii wote wenye kujihusisha na CCM.
 
We all know kwa culture ya wabongo number 1,2 hawatoweza kukwepa.
Only jamii iliyo elimika na inajiamini
 
Naipenda zanzibar,
watakachokitaka wao kinakua, njoo bara sasa utapata ugonjwa wa stress ambao matibu yake yanapatikana kwenye safari za nje tu.
1. Hatutaki watu wale chakula mchana wakati wa ramadhani na ikawa hivyo, jifanye kama hujui halafu ule mchana hizo bakora zake utasimulia katika uhai wako wote.
2. wanawake hawatakiwi kuvaa vimini na nguo za kuonyesha maumbile na ikawa hivyo
3. wakati wa taarifa za habari TV zote zionyeshe channel za habari na ikawa hivyo,
4. Aridhi ya zanzibar ni kwa wazanzibar tu na ikawa hivyo,
5. Tuwe na wimbo wetu wa taifa na ikawa hivyo,
6. Tuwe na bendera yetu, ikawa hivyo
I LOVE ZANZIBAR KWA HAYO HAPO JUU.
Njoo bara; hatuna chochote tangu tuungane kama wenzetu.
Sorry hivi makao makuu ya Muungano wetu yako wapi, Tanzania Bara (Tanganyika) au Tanzania Visiwani (Zanzibar) Nawaza tu hata sielewi, au naota. Au ni pale DODOMA, Au ni pale michenzani mwenzenu hata sielewi, najiendea tu. Zanzibar itaweza kuifikia Ulaya mapema kuliko Tanzania Bara (Tanganyika)
 
Back
Top Bottom