Watu wanajitengenezea ugali wao kimyakimyaKamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es salaam (RCC) ikiongozwa Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila leo Machi 24, 2024 imepokea na kuridhia mapendekezo ya Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Ilala (DCC) ya kuligawa jimbo la Ukonga lililopo Wilaya ya Ilala kuwa majimbo mawili ambayo ni jimbo la Ukonga na jimbo Kivule ambapo mchakato unaofuata ni kuwasilisha mapendekezo hayo kwenye mamlaka husika ikiwemo OR-TAMISEMI ili kupata ridhaa.
Akizungumza leo jijini Dar es salaam katika mkutano wa RCC mara baada ya kupokea mapendekezo hayo, RC Chalamila amesema mapendekezo hayo yamelenga kuboresha huduma kwa kuzingatia jimbo hilo ni kubwa na lina idadi kubwa ya watu hivyo kamati imepokea mapendekezo hayo na yatawasilishwa ngazi zingine kwa maamuzi zaidi
Aidha RC Chalamila amesema baada ya kugawanywa jimbo jipya la Kivule litakua na kata sita ambazo ni Kipunguni, Mzinga, Msongola, Kitunda, Kivule na Majohe, jimbo hilo lina kilometa za mraba 128, idadi ya watu 431,736 na Jimbo la ukonga likibaki na Kata saba ambazo ni Ukonga, Chanika, Gongo la Mboto, Zingiziwa, Buyuni na Pugu Station likiwa na idadi ya watu 490,121.
Ssrikali za wenzetu zina downsize sisi tunawaza ku expand in the name of politics?Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es salaam (RCC) ikiongozwa Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila leo Machi 24, 2024 imepokea na kuridhia mapendekezo ya Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Ilala (DCC) ya kuligawa jimbo la Ukonga lililopo Wilaya ya Ilala kuwa majimbo mawili ambayo ni jimbo la Ukonga na jimbo Kivule ambapo mchakato unaofuata ni kuwasilisha mapendekezo hayo kwenye mamlaka husika ikiwemo OR-TAMISEMI ili kupata ridhaa.
Akizungumza leo jijini Dar es salaam katika mkutano wa RCC mara baada ya kupokea mapendekezo hayo, RC Chalamila amesema mapendekezo hayo yamelenga kuboresha huduma kwa kuzingatia jimbo hilo ni kubwa na lina idadi kubwa ya watu hivyo kamati imepokea mapendekezo hayo na yatawasilishwa ngazi zingine kwa maamuzi zaidi
Aidha RC Chalamila amesema baada ya kugawanywa jimbo jipya la Kivule litakua na kata sita ambazo ni Kipunguni, Mzinga, Msongola, Kitunda, Kivule na Majohe, jimbo hilo lina kilometa za mraba 128, idadi ya watu 431,736 na Jimbo la ukonga likibaki na Kata saba ambazo ni Ukonga, Chanika, Gongo la Mboto, Zingiziwa, Buyuni na Pugu Station likiwa na idadi ya watu 490,121.
Jimbo la Kawe nalo ligawanywe lipatikane Jimbo la Tegeta au Bunju.Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es salaam (RCC) ikiongozwa Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila leo Machi 24, 2024 imepokea na kuridhia mapendekezo ya Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Ilala (DCC) ya kuligawa jimbo la Ukonga lililopo Wilaya ya Ilala kuwa majimbo mawili ambayo ni jimbo la Ukonga na jimbo Kivule ambapo mchakato unaofuata ni kuwasilisha mapendekezo hayo kwenye mamlaka husika ikiwemo OR-TAMISEMI ili kupata ridhaa.
Akizungumza leo jijini Dar es salaam katika mkutano wa RCC mara baada ya kupokea mapendekezo hayo, RC Chalamila amesema mapendekezo hayo yamelenga kuboresha huduma kwa kuzingatia jimbo hilo ni kubwa na lina idadi kubwa ya watu hivyo kamati imepokea mapendekezo hayo na yatawasilishwa ngazi zingine kwa maamuzi zaidi
Soma pia: Shinyanga: Madiwani wapitisha pendekezo la Jimbo la Solwa kugawanywa mara mbili
Aidha RC Chalamila amesema baada ya kugawanywa jimbo jipya la Kivule litakua na kata sita ambazo ni Kipunguni, Mzinga, Msongola, Kitunda, Kivule na Majohe, jimbo hilo lina kilometa za mraba 128, idadi ya watu 431,736 na Jimbo la ukonga likibaki na Kata saba ambazo ni Ukonga, Chanika, Gongo la Mboto, Zingiziwa, Buyuni na Pugu Station likiwa na idadi ya watu 490,121.
Najiandaa kwa fursa hii.....Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es salaam (RCC) ikiongozwa Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila leo Machi 24, 2024 imepokea na kuridhia mapendekezo ya Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Ilala (DCC) ya kuligawa jimbo la Ukonga lililopo Wilaya ya Ilala kuwa majimbo mawili ambayo ni jimbo la Ukonga na jimbo Kivule ambapo mchakato unaofuata ni kuwasilisha mapendekezo hayo kwenye mamlaka husika ikiwemo OR-TAMISEMI ili kupata ridhaa.
Akizungumza leo jijini Dar es salaam katika mkutano wa RCC mara baada ya kupokea mapendekezo hayo, RC Chalamila amesema mapendekezo hayo yamelenga kuboresha huduma kwa kuzingatia jimbo hilo ni kubwa na lina idadi kubwa ya watu hivyo kamati imepokea mapendekezo hayo na yatawasilishwa ngazi zingine kwa maamuzi zaidi
Soma pia: Shinyanga: Madiwani wapitisha pendekezo la Jimbo la Solwa kugawanywa mara mbili
Aidha RC Chalamila amesema baada ya kugawanywa jimbo jipya la Kivule litakua na kata sita ambazo ni Kipunguni, Mzinga, Msongola, Kitunda, Kivule na Majohe, jimbo hilo lina kilometa za mraba 128, idadi ya watu 431,736 na Jimbo la ukonga likibaki na Kata saba ambazo ni Ukonga, Chanika, Gongo la Mboto, Zingiziwa, Buyuni na Pugu Station likiwa na idadi ya watu 490,121.
Serikali yoyote duniani, bila wananchi kuisimamia na kuiadhibu pale inapokosea haitajali wananchi wake.Ssrikali za wenzetu zina downsize sisi tunawaza ku expand in the name of politics?
Serikali yoyote duniani, bila wananchi kuisimamia na kuiadhibu pale inapokosea haitajali wananchi wake.
Wananchi wenyewe ndio hawa toothless licha ya wingi waoSerikali yoyote duniani, bila wananchi kuisimamia na kuiadhibu pale inapokosea haitajali wananchi wake.
Kuna njia nyingi sana wananchi wanaweza kuonyesha hasira zao kama wanaogopa kutoka kuandamana. 1. Rais anapofanya ziara wajitokeze kwa wingi sana halafu wazomee anapoanza kuhutubia. 2. Kususia kwenda mpirani 3. Kutojitokeza kwenye shughuli za serikali 4. kususia TV, radio na wasanii wote wenye kujihusisha na CCM.Wananchi wenyewe ndio hawa toothless licha ya wingi wao
We all know kwa culture ya wabongo number 1,2 hawatoweza kukwepa.Kuna njia nyingi sana wananchi wanaweza kuonyesha hasira zao kama wanaogopa kutoka kuandamana. 1. Rais anapofanya ziara wajitokeze kwa wingi sana halafu wazomee anapoanza kuhutubia. 2. Kususia kwenda mpirani 3. Kutojitokeza kwenye shughuli za serikali 4. kususia TV, radio na wasanii wote wenye kujihusisha na CCM.
Kweli.We all know kwa culture ya wabongo number 1,2 hawatoweza kukwepa.
Only jamii iliyo elimika na inajiamini
Halina sifa ila, wanasiasa walitaka kuwe na Jimbo la kawe na Jimbo la mabwepande ineshindikanaJimbo la Kawe nalo ligawanywe lipatikane Jimbo la Tegeta au Bunju.