mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
kamati ya bunge imebainisha vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu vinavyofanywa na na walinzi wa malonje na kua vitendo hivyo vinatokana na miongozo kutoka kwa wamiliki wa shamba hilo, amesema kua kamati imebaini kuwepo na vurugu kati ya walinzi wa shamba la malonje na wananchi wa vijiji vilivyo karibu na shamba la malonje. Aidha matokeo ya vurugu hizo yamepelea mlinzi wa shamba la malonje kuuwawa na baadhi ya wanhanchi kujeruhiwa kwa silaha za moto maeneo tofaut tofaut ya mwili. hospitali pamoja na wananchi wamethibitisha kwa kamati kua wamepigwa risasi na walinzi wa shamba hilo.