Kamati yaundwa kufuatilia Mwili na mazishi ya Mangwair

Kamati yaundwa kufuatilia Mwili na mazishi ya Mangwair

Akina Mawingu mkuu. Si misiba mingi huwa wanaiendea na ndizi na pilipili mkuu!

Hii umeitendea haki hao ndiyo kila siku
wanatembea na ndizi pia pilipili



Nimeikubali sana hii comment yako Mkuu.
 
Mahesabu yawekwe tu hadharani yasije kutokea ya kanumba hapa
 
kwa hyo unakubali kuwa hiyo ndo kampuni pekee inayojali mambo ya msingi kama haya? Au Kuna kituo kingine cha radio unachokijua kimepeleka mtu wa kutoa update? Ajabu ni kwamba unaiponda ilhali ndo hiyo pia unaiskiliza saa hizi kupata update..shame on u

Mchawi siku zote analiaga sana siku ya msiba...!!
 
Back
Top Bottom