Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawaona wawakilishi kvtoka radio ya clauz ni vp tena?
Na huyu njiti sikoseli MwanaFA ameingia vipi kwenye hiyo kamati?
Mchawi siku zote analiaga sana siku ya msiba...!!
Na huyu njiti sikoseli MwanaFA ameingia vipi kwenye hiyo kamati?
Badly mimi hiyo Redio ya wafu hata kusikiliza huwa sisikilizi, saa hizi nimetune Wapo Radio fm nasikiliza vitu vya maana huku nabofya keyboard.Mh!
Ulitaka uwekwe wewe ili uje na ndizi na pilipili kwenye msiba?
vipi wamaeishapata hizo Mil 4 za kuuleta mwili Dar..?Kamati hiyo imeundwa na inajumuisha Prof.J,TID,Lady Jaydee,P Funk,Inspector Haroun,Adam Juma,Mwana FA,J moo na wengineo. Ila sijawasikia wale wa kule upande wa pili wakitajwa kwenye kamati hiyo wakati misiba kadhaa huwa wanashiriki kikamilifu! My take😀o you think what am thinking!?.Source: Taarifa ya habari ya saa moja.Chanel Ten.
hwa jamaa nuks wanaweza kuibuka na kamati yao wakiulizwa utaskia fursa fursa
Mbavu zangu mie,nimecheka mpaka nimepaliwa,wazee wa "fursa fursa"🙂