Kamati yaundwa kufuatilia Mwili na mazishi ya Mangwair

Akina Mawingu mkuu. Si misiba mingi huwa wanaiendea na ndizi na pilipili mkuu!

Hii umeitendea haki hao ndiyo kila siku
wanatembea na ndizi pia pilipili



Nimeikubali sana hii comment yako Mkuu.
 
Mahesabu yawekwe tu hadharani yasije kutokea ya kanumba hapa
 

Mchawi siku zote analiaga sana siku ya msiba...!!
 
Jamani watu mna vituko humu.
Dah!
Nimechekaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…