Kamati yaundwa kufuatilia Mwili na mazishi ya Mangwair

Nahisi ktk hili kuna uwezekano bifu likawa kubwa sana kati ya hayo makundi mawili, uchadema na usisiemu unanukia ktk muziki hope upande wa kina jide utashinda vita - mwisho wa mawingu umewadia

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mh!
Ulitaka uwekwe wewe ili uje na ndizi na pilipili kwenye msiba?
Badly mimi hiyo Redio ya wafu hata kusikiliza huwa sisikilizi, saa hizi nimetune Wapo Radio fm nasikiliza vitu vya maana huku nabofya keyboard.
 
duh... ebu wasameeni clouds jaman, kumbuken millardayo yupo kwa tough ya clouds!
Ruge jirekebishe jaman
 
Badly mimi hiyo Redio ya wafu hata kusikiliza huwa sisikilizi, saa hizi nimetune Wapo Radio fm nasikiliza vitu vya maana huku nabofya keyboard.

Haya mkubwa Matola,umesomeka.
 
Last edited by a moderator:
vipi wamaeishapata hizo Mil 4 za kuuleta mwili Dar..?
 
Mbavu zangu mie,nimecheka mpaka nimepaliwa,wazee wa "fursa fursa"πŸ™‚

kibonde anakapenda sana haka kamsemo yan kila akimaliza kuropoka utasikia fursa fursa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…