kwasabb hiyo,Huwa inasemwa CHADEMA ilisaliti msimamo wake ilipomchukua Lowassa na kmfanya mgombea urais mwaka 2015 kama hii ni kweli basi kuondoka kwa kundi la Mbowe CHADEMA inaweza kuwa sawa na utakaso kwa dhambi hiyo.
Ikumbukwe Mbowe na timu yake ndiye alikuwa kinara wa kumleta Lowassa CHADEMA mpaka akapewa jina la utani kamanda wa kubadili gia hewani, yeye pia ndiye aliyekuja na kauli mbiu ya Lowassa Mabadiliko, Mabadiliko Lowassa.
Sehemu kubwa ya walioondoka mpaka sasa walikuwa sehemu ya mafuriko ya Lowassa!
Yaani Mbowe akiondoka cdm pamoja na genge lake, kilio changu cha toka 2015 kuwa Mbowe hakustahili tena kuwa mwenyekiti wa cdm kwa kumuokota Lowassa, na kumpa nafasi adhimu ya kugombea rais. Kitendo cha kushindwa juzi kilinifurahisha mno, maana yalikuwa maamuzi sahihi ya wanacdm. Fundi Mchundo TrueVoter Retired Yericko NyerereHuwa inasemwa CHADEMA ilisaliti msimamo wake ilipomchukua Lowassa na kmfanya mgombea urais mwaka 2015 kama hii ni kweli basi kuondoka kwa kundi la Mbowe CHADEMA inaweza kuwa sawa na utakaso kwa dhambi hiyo.
Ikumbukwe Mbowe na timu yake ndiye alikuwa kinara wa kumleta Lowassa CHADEMA mpaka akapewa jina la utani kamanda wa kubadili gia hewani, yeye pia ndiye aliyekuja na kauli mbiu ya Lowassa Mabadiliko, Mabadiliko Lowassa.
Sehemu kubwa ya walioondoka mpaka sasa walikuwa sehemu ya mafuriko ya Lowassa!
Umemsahau madam LusungoYaani Mbowe akiondoka cdm pamoja na genge lake, kilio changu cha toka 2015 kuwa Mbowe hakustahili tena kuwa mwenyekiti wa cdm kwa kumuokota Lowassa, na kumpa nafasi adhimu ya kugombea rais. Kitendo cha kushindwa juzi kilinifurahisha mno, maana yalikuwa maamuzi sahihi ya wanacdm. Fundi Mchundo TrueVoter Retired Yericko Nyerere
Ukifanya dhambi tangu kale lazima utoe kafara ili Mungu akusamehe😀Huwa inasemwa CHADEMA ilisaliti msimamo wake ilipomchukua Lowassa na kmfanya mgombea urais mwaka 2015 kama hii ni kweli basi kuondoka kwa kundi la Mbowe CHADEMA inaweza kuwa sawa na utakaso kwa dhambi hiyo.
Ikumbukwe Mbowe na timu yake ndiye alikuwa kinara wa kumleta Lowassa CHADEMA mpaka akapewa jina la utani kamanda wa kubadili gia hewani, yeye pia ndiye aliyekuja na kauli mbiu ya Lowassa Mabadiliko, Mabadiliko Lowassa.
Sehemu kubwa ya walioondoka mpaka sasa walikuwa sehemu ya mafuriko ya Lowassa!
Ukimaliza uje kutusimuliaNiseme, kabla ya kusoma yaliyomo ndani ya mada; mkuu 'Yoda' ni fundi mzuri wa kutengeneza vichwa vya mada aziwasilishazo humu; hata kama hukubaliani na maudhui ya mada zenyewe.
Sasa nakwenda kusoma mada.
Duh!Mpaka paka wa kufuga mtawasingizia safari hii kisa CHADEMA.
Yani No reform No election ni zaidi ya uume unavyo wasumbua CCM makalioni mkipiga makelele
Mkuu uliwaza mbali sanaYaani Mbowe akiondoka cdm pamoja na genge lake, kilio changu cha toka 2015 kuwa Mbowe hakustahili tena kuwa mwenyekiti wa cdm kwa kumuokota Lowassa, na kumpa nafasi adhimu ya kugombea rais. Kitendo cha kushindwa juzi kilinifurahisha mno, maana yalikuwa maamuzi sahihi ya wanacdm. Fundi Mchundo TrueVoter Retired Yericko Nyerere
Chadema is there to staye forever....or for many years or soChadema ipo mioyoni mwa watanzania wengi na sidhani kama itakufa leo wala kesho
Ukiwa na maana kuwa nami nilikuwemo kwenye mpango huo,au vipi, mkuu 'Bush Doktori'?Ukimaliza uje kutusimulia
kwasabb hiyo,
Chadema imebaki crepa tu saivi dah!🐒
[/QUO
Jitoe ufahamu tuu...ueze kula na kulisha watoto