Kambi za magaidi wa Hezbollah Lebanon hakukaliki, waanza kuficha makombora yao, Israel yasema kipigo kiko palepale

Hawaogopi vita
Ngojea uone jino kwa jino na wao lazima watapigwa wanapigwa tokea oktoba na hizbullah na bado watapigwa kwa huo ujinga wao
Mzee huwajui hawa watu. Wao walishajitoa mhanga zaman ndio maana wakawa na mshipa wa kuanzisha taifa katikati ya maadui. Ni do or die.
 
Mzee huwajui hawa watu. Wao walishajitoa mhanga zaman ndio maana wakawa na mshipa wa kuanzisha taifa katikati ya maadui. Ni do or die.
Waliweza kuanzisha kina nani 😀
Kwani unadhani hatujui kama taifa limeanzishwa na marekani uingereza na wamagharibi wengine
Nandio maana wanatumia kila njia kulilinda kijeshi kisiasa na kiuchumi
Israhell iachwe kupewa sapoti na hao waloiunda kwa muda wa masaa 72 tu hautaiona tena hapo ilipo
 
Wakristo huwa mnaikuza sana Israel tulienu muone majibu ya Hezbullah mchezo ndio kwanza umeanza, asije kuomba nchi za kiarabu wamsemeshe Hezbullah asimamishe vita.
 
Wenzio kabla ya kuunda taifa lao walishashika mifumo yote ya uchumi na kiutawala na kimaamuzi kwenye hizo nchi na Israel raia wao wana uraia wa nchi tofauti tofauti so ukimpiga unajikuta unapigwa na wengine kwa kuua raia wao. So wenzio walishajipanga zaman wewe baki ukiamin vita vinapiganwa katika mfumo ule ule.
 
Haha wakristo mnachekesha Israel alidhani ataua commander marufu wa Hezbullah Fuad Shakir lakini kafail.

Afu anakuja US secretary of defence anasema watailinda Israel kwa mashambulizi ya Hezbullah 😄

Kwani nani hajui US anailinda Israel, kila kukicha Israel anapokea kichapo kama kawaida hata US apeleke jeshi lake lote kumlinda Israel, kichapo kinatembea kama kawaida.
 
Ndio maana nikakwambia israhell haipigani sababu haikuwahi kuwepo hapo kabla
Hao raia sio kama wana uraia wamataifa mengine kama unavyodai hapa bali wana uraia wao halisi wahizo nchi nawakutunga wa happ israhell
 
Brother punguza hasira utajua kwa hasira bure. Hakuna raia wa Sehem moja dunia. Kila mtu alizaliwa pale ambapo ndipo wazee wake walipaita ni kwao. Kila jamii ukiulizia utaambiwa huyu alitokea hapa kwenda pale. Ni sawa na ukawaambie wazungu kule Australia au marekani warud kwao. Usipojifunza kuishi pamoja kwa aman utajifunza kuishi kwa vita. That's all.
 
Hizi stori mnazodanganya kwenye vijiwe vya kahawa tayari beiruti imeshushia kipondo na afisa mwandamizi wa hezzbollah kapelekwa kwa allah
 
Iran atapitia njia gani kupeleka hivyo vyuma maana njia zote atakuwepo marekani na uingereza na ufaransa halafu iran akirusha makombora yake atapitia anga ipi maana kuna jordan na saudia arabia
unavyodhani marekani na uingereza hawaogopi,hawapigiki?
wacha tuone vita ikiwa kamili nani atakuwa nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…