Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Mimi sio weweWakati wewe mwenyewe ni gay tayari
Ukishabarikiwa unaropokwa tuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio weweWakati wewe mwenyewe ni gay tayari
Mzee huwajui hawa watu. Wao walishajitoa mhanga zaman ndio maana wakawa na mshipa wa kuanzisha taifa katikati ya maadui. Ni do or die.Hawaogopi vita
Ngojea uone jino kwa jino na wao lazima watapigwa wanapigwa tokea oktoba na hizbullah na bado watapigwa kwa huo ujinga wao
Bwana utamu, uliwaza nini kujiita mzee wa utamu ?Mimi sio wewe
Ukishabarikiwa unaropokwa tuuu
Waliweza kuanzisha kina nani 😀Mzee huwajui hawa watu. Wao walishajitoa mhanga zaman ndio maana wakawa na mshipa wa kuanzisha taifa katikati ya maadui. Ni do or die.
Kujiita bwana kunakuumaBwana utamu, uliwaza nini kujiita mzee wa utamu ?
Nilichouliza na ulichokijibu haviendani. Are you okay mentally?Kujiita bwana kunakuuma
Pole sana endelea kuumia ukitaka niite tu bwana ntakuitikia
Wenzio kabla ya kuunda taifa lao walishashika mifumo yote ya uchumi na kiutawala na kimaamuzi kwenye hizo nchi na Israel raia wao wana uraia wa nchi tofauti tofauti so ukimpiga unajikuta unapigwa na wengine kwa kuua raia wao. So wenzio walishajipanga zaman wewe baki ukiamin vita vinapiganwa katika mfumo ule ule.Waliweza kuanzisha kina nani 😀
Kwani unadhani hatujui kama taifa limeanzishwa na marekani uingereza na wamagharibi wengine
Nandio maana wanatumia kila njia kulilinda kijeshi kisiasa na kiuchumi
Israhell iachwe kupewa sapoti na hao waloiunda kwa muda wa masaa 72 tu hautaiona tena hapo ilipo
Sema sijakujibu kama ulivyotaka ila sijajibu tofautiNilichouliza na ulichokijibu haviendani. Are you okay mentally?
Ndio maana nikakwambia israhell haipigani sababu haikuwahi kuwepo hapo kablaWenzio kabla ya kuunda taifa lao walishashika mifumo yote ya uchumi na kiutawala na kimaamuzi kwenye hizo nchi na Israel raia wao wana uraia wa nchi tofauti tofauti so ukimpiga unajikuta unapigwa na wengine kwa kuua raia wao. So wenzio walishajipanga zaman wewe baki ukiamin vita vinapiganwa katika mfumo ule ule.
nashangaaga sana wanaoshanikia vita , vita sio kitu chakuletea uushabiki unless it involves f22 raptorVita Sio kitu cha kuleta ushabiki maandazi.
Hizi stori mnazodanganya kwenye vijiwe vya kahawa tayari beiruti imeshushia kipondo na afisa mwandamizi wa hezzbollah kapelekwa kwa allahUsishabikie hiyo vita maana nchi za kiarabu zitaingilia pia ili kupunguza makali ya Israel. Hawatakubali vita ienee gulf region.
Jana Turkey imesema wazi itatuma majeshi Gaza, ngoja vita ianze, surprises hazitahesabika. Itakuwa vita kubwa na pande zote mbili watu wengi watauawa. Haitakuwa kama Gaza.
Kuna mwanahabari mzungu aliripoti kuona ndege zilizobeba makombora zikishuka Beirut toka Iran.
Hii vita ni ya hatari sana kwa Israel na wao wanajua. Iran si waarabu ni watu hatari sana kwa silaha na vita.
Usishabikie sana Mkuu.
You got all wrong Ms utamuSema sijakujibu kama ulivyotaka ila sijajibu tofauti
unavyodhani marekani na uingereza hawaogopi,hawapigiki?Iran atapitia njia gani kupeleka hivyo vyuma maana njia zote atakuwepo marekani na uingereza na ufaransa halafu iran akirusha makombora yake atapitia anga ipi maana kuna jordan na saudia arabia