Kamera yamnasa Baraka da Prince akimtomasa Linah nyuma ya jukwaa, mwenyewe achekelea

Kamera yamnasa Baraka da Prince akimtomasa Linah nyuma ya jukwaa, mwenyewe achekelea

ImageUploadedByJamiiForums1465488333.471764.jpg


Hapo ndo utajua sisi wanaume uwezo wetu wa kifikira upo tofauti kidogo na hawa wenzetu, tazama huyo jamaa alivyo smart na hakuna ata sehemu ya mwili wake inayoonekana nje lkn tazama huyo bi dada hapo ndo utaona fahari kuzaliwa mwanaume.
 
Linah a.k.a ndege mnana amewahi kukiri eatv kuwa yupo single,afterall wanasema hawara hana talaka[emoji12] [emoji12]
 
Wenyew wamependa kushikana huko kwa makubaliano kwan kuna Mtoto mdogo hapo???
 
MA VI ya kale hayanuki acha warudiane they don't smell bad to each other.
 
Mambo hadharani!(in Steve wa yanga voice,steve kulialia)
 
Hapo naona Baraka ndo kadhalilishwa sio Linah. Ningekuwa babake Baraka naenda mahakamani. Duka mkononi linadhalilishwaje kwa kushikwashikwa? Hata soksi ya mmachinga lazima niitomasetomase kabla sijainunua
 
Back
Top Bottom