Segito wa Kalenga
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 609
- 864
Basi kiroho safi ageuze kurudi huko jukwaa la siasa.hapa hapamfaimtoto una hasira wewe.
Huyo alishazoea kukaa jukwaa la siasa huyo.
Nami namshangaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] wenzie wanashindana kunywa maji ye kazubaa tuHuyu Baraka kwa siku hanywi hata glass ya maji, mbona yupo hivo
kinachonikera ni hawa wanawake kudhalilisha miili yao. no wonder wanaume wengi dushelele zimepungua nguvu, mnategemea nini ikiwa kutwa mko uchi, hata mkiwa privacy hakuna cha ajabu... tujiheshimu jamani wanawake, maumbo na miili yetu haifai kuachwa wazi. sijui kwanini hatujifunzi... lol....