Kamera za ulinzi kufungwa Kariakoo kwa gharama ya Tsh Milioni 514

True also considerations have to made on the backup batteries probably with solar gadgets and water resistant cameras
 
Hapa kuna wizi mkubwa sn, hata milioni 14 ingetosha kufunga carema nyingi sn
ndugu camera za majiji sio kama za kwenye fremu unoziona zanzibar kule zimefungwa 20 nafikili moja ni zaidi mill 12 hapo hapo galama za installation na vingine vingi hizi interlligence camera inakuja na AI inafanya kazi hata giza totoro eti mill 14 ingetosha kufunga camera nying mno
 
Wewe ni mnufaika wa ufisadi nakujua vizuri sn, nashauri usinichokoze vinginevyo utakutana na matokeo mabaya sn kwa upande wako
 
Hapo unatafutwa upigwaji, nchi ngumu sana hii..!!
 
Camera 40 kwa millipn 514
🙄🙄🙄
Inafikirisha hizi hesabu. 40 au 400 walimaanisha? ?
 
Unadhani hatuwajui mnavyocheza na makaratasi?

Nakuuliza swali moja tu!

Nipe tu uthibitisho wa hizo bei ulizoweka hapo!

Nasubiri majibu yako. Usituone tunaosema humu ni mazwazwa!
Labda unaweza kuwa zwazwa kwa hiyo hali yako ya kuweza kusoma maandishi lakini bila kuelewa kile kitu unasoma.

Huo mchanganuo ni wa utafiti wangu binafsi, kwa kutumia aina ya camera ambazo zimefungwa hapo Tanzania katika jengo fulani, Dar.

Na mwisho nimesema, kazi wananchi ni kujua ni aina gani ya kamera ndizo zitafungwa Kariakoo, kwani zipo zenye bei inayolingana au kuzidi hiyo bei.

Pia, zipo za bei ndogo zisizoweza kufika kiasi hicho cha pesa. Sasa kulikuwa na shida gani kuelewa hili hadi unajipa uzwazwa?

Ova
 
Wamesema 40 ni hatua ya kwanza. Hivyo, nadhani kutakuwa na hatua nyingine za ufungaji wa kamera.

Ova
 
usalama kwa hawa polisi ambao wakipewa 100k wanakubakimbizia kesi kabisa
 
Yaani camera moja ni sh 12,850,000/=. Ccm wameamua kuiba pesa za umma bila aibu.
Kwanin watanganyika mnaruhusu huu wizi utokee? Halafu eti mwisho wa mwezi kesho kutwa kwenye mshaara wangu mnikate PAYE mkinidanganya eti sijui mnapeleka hicho kiasi kwenye ujezi wa taifa?

Hapana sitokubali kwanzia mwezi huu.
 
Kiherehere chenu ona sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…