Kamfumania mume wake siku ya Christmas, afanyeje?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Jambo iko? Kwanza merry christmass

Kuna mrembo amepigwa huku amapiano!πŸ™†β€β™‚οΈ Amemfumania mpenzi wake Christmas hii akiwa na shogake wa miaka mingi kwa hotel tamu hapo posta, tena usiku.

Tena alitonywa na msamaria mwema tu maskini. Sasa ananiuliza afanyaje?

Haya maisha bwana; mwingine anazaliwa mwingine anafumaniwa, kiru! πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ

Embu msaidieini shogangu amfanyaje bwana wake, ndoa ya miaka 3 tu, bado changa, bado mbichi, woi πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
β€’ Ndoa imeingia mchanga, nashauri aachane naye tu....

β€’ Mpenzi akikusaliti maana yake hapo kuna sehemu inapwaya
 
Pole sana msamehe,nani alikudanganya kwamba mume ni wa mtu mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…