Kamfumania mume wake siku ya Christmas, afanyeje?

Kamfumania mume wake siku ya Christmas, afanyeje?

Jambo iko? Kwanza merry christmass

Kuna mrembo amepigwa huku amapiano!🙆‍♂️ Amemfumania mpenzi wake Christmas hii akiwa na shogake wa miaka mingi kwa hotel tamu hapo posta, tena usiku.

Tena alitonywa na msamaria mwema tu maskini. Sasa ananiuliza afanyaje?

Haya maisha bwana; mwingine anazaliwa mwingine anafumaniwa, kiru! 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

Embu msaidieini shogangu amfanyaje bwana wake, ndoa ya miaka 3 tu, bado changa, bado mbichi, woi 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Mwanaume huwa hafumaniwi,
 
Hapo wa kulaumiwa ni huyu aliemtonya, huyo sio msamaria mwema ni ibilisi shetwain kabisa! Huyo ndio anataka kuiparanganyisha ndoa ya huyo dada utadhani yeye ana mume wa kumpa akisha achwa 🙄
DOH!
shetani tena?
 
Na yeye achapuke siku ya mwaka mpya na ahakikishe mumewe anamfumania.

Itapendeza zaidi akichepuka na mume wa huyo rafiki yake kama kaolewa.
 
Kumbe je? Yeye kilichomshinda kupita na njia zake na kufunga bakuli lake ni kitu gani? Au atanufaika nini huyo mwenzie akiachwa au hiyo ndoa ikivunjika..? Watu wajifunze ku mind their business
kuna watu walimind their business kwenye miradhi business iliua watu!
 
Jambo iko? Kwanza merry christmass

Kuna mrembo amepigwa huku amapiano!🙆‍♂️ Amemfumania mpenzi wake Christmas hii akiwa na shogake wa miaka mingi kwa hotel tamu hapo posta, tena usiku.

Tena alitonywa na msamaria mwema tu maskini. Sasa ananiuliza afanyaje?

Haya maisha bwana; mwingine anazaliwa mwingine anafumaniwa, kiru! 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

Embu msaidieini shogangu amfanyaje bwana wake, ndoa ya miaka 3 tu, bado changa, bado mbichi, woi 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
JamiiForums1964343086.gif
 
Nakuambia mimi hata ukimkuta mke wangu hapo analiwa ukija kuniambia ntakutoa nduki na kipigo juu, unless kama una mke umeniandalia ambae ni malaika. Au unataka nikuoe wewe
sio mbaya kama ushakubalia hali zote au inawezekana haujapenda!
 
Back
Top Bottom