Kamfumania mume wake siku ya Christmas, afanyeje?

Kamfumania mume wake siku ya Christmas, afanyeje?

Hatuishi na malaika tegemea chochote kufumania,kuletewa mtoto wa nje,kuachwa ukijiandaa huwezi enda jela kisa mapenzi.
Dunia imevaa bukta kichwan
Unajua kuna kitu kimoja watu sijui kwanini hua hawakielewi.

Unaposikia mtu kafumaniwa, au katoka nje ya ndoa, au kazaa nje nk watu hua wanadhani wanaofanya hayo yote ni binadamu wengine kabisa tofauti na sisi binadamu wa kawaida. Kumbe wanaofanya hayo ni mtu kama mimi na wewe, wana kazi zao, wana familia zao, wana maisha kama yetu.

Sasa ni ujinga kudhani kwamba mtu ulieko nae wewe yeye ni binadamu wa tofauti na hawa wengine, na kwamba yeye hawezi kufanya hayo! Matokeo yake siku ukimkuta kafanya unaanza kuzimia, ku paniki, kutaka kuua watu nk. Kumbe ungetambua mapema kwamba unaishi na binadamu wa kawaida pengine ungejiandaa kisaikolojia.
 
Nadhani hapo tatizo lipo kwa mke.
Hakupaswa asikilize maneno ya hao wanaojiita wasamalia, siku nyingine asisikilize maneno ya watu. Hilo swala achukulie tu ni kama alitengenezewa mazingaombwe ili mumewe aonekane amechepuka na rafiki yake, kiukweli kabisa mume wake alikuwa na marafiki zake sehemu ya wazi kabisa wanapiga story, sio yeye, ametengenezewa tu zengwe la kimazingara.
 
du
 
Watu wanaloga nyie acheni tu. Madam huwezi kuamini hizi mambo.

Mie mke wangu alinifumania niko na rafiki yake, ila nilikataa sio mimi. Nilimwambia kuna watu hawatupendi wamekutengenezea picha kiuchawi ili tugombame tuachane,.nilikana kabisa nkamwambia sio mimi. Tunaishi vizuri tu sasa mwaka wa 10 huu.
 
Back
Top Bottom