Jambo iko? Kwanza merry christmass
Kuna mrembo amepigwa huku amapiano!πββοΈ Amemfumania mpenzi wake Christmas hii akiwa na shogake wa miaka mingi kwa hotel tamu hapo posta, tena usiku.
Tena alitonywa na msamaria mwema tu maskini. Sasa ananiuliza afanyaje?
Haya maisha bwana; mwingine anazaliwa mwingine anafumaniwa, kiru! πββοΈπββοΈπββοΈ
Embu msaidieini shogangu amfanyaje bwana wake, ndoa ya miaka 3 tu, bado changa, bado mbichi, woi πββοΈπββοΈπββοΈ