Kuachana ni kitu kikubwa sana,na kitamuathiri kisaikolojia maisha yake yote kuliko km atamsamehe. Please yamalizeni kifamilia tu ili amani iendelee kuwepo.
Sure lazma uliyoyasema wayaangalie...kutengana kwahitaji analysis ya kina sana na ujasiri wa hali ya juu sana otherwise atajenga sononeko la moyo litakalomtesa sana.Kaunga sorry for saying this but mara nyingi katika post zako umeonesha jinsi ulivo na hasira dhidi ya wanaume, I hope kua utapomshauri mdogoko utaweka hio hasira pembeni walau briefly... B2T...
Haya ni mambo magumu saana, hasa yanapo husu wanandoa.... Many things have to be taken in consideration kabla mdogo wako hajaamua lolote. Vitu kama wanaishi vipi na mumewe? Ilikuaje mpaka mumewe akalala na huyo house gal? Tabia ya mumewe dhidi ya wanawake wengine (je ni kicheche?)? Attitude ya mumewe baaada ya kufumaniwa... Umri wa ndoa yao... Wana/hawana watoto? Applicability ya nafasi ya huyo mume ndani ya ndoa.... Na most importantly does she still have feelings for the hubby?
Tena akimsamehe huyo jamaa atakuwa mstaarabu than ever before,na mapenzi yake yatakuwa motomoto sana,pia kwa kumsamehe huyo dada atakuwa kaonyesha mapenzi yakweli na dhati. Asamehewe tuhakika sisi ni binadamu na siyo malaika, hivyo basi tutashawishiwa kwa kila kitu, huyo jamaa asamehewe tu, wakristu wanasisitiza upendo sijuwi wengine, 7x70 huo ni msamaha wake.
Sio hivyo The Boss,kumbuka kosa si kosa bali kosa ni kurudia kosa,kumbuka sote ni wadhaifu na kuna wakati shetani anatuzidi nguvu hata Yesu alisema kwa yule mwanamke kuwa Asiye na dhambi na ampige huyu mama kwa mawe....je nani msafi kati ya wanadamu?????kuendelea ndoa na mbakaji?
kuachana atakufa au?
mnataka aje ambake watoto wa ndugu au?
Kabla hajaja huko kwako, kwanza ashughulikie hiyo kesi ya ubakaji, labda m,atokeo yake yatampa picha ya nini cha kufanyaWana MMU
Natumaini mlikuwa na blessed Xmas? Sio hivyo kwa mdogo wangu, ambaye ni nurse ambaye baada ya kutoka mapema night shift alimfumania mumewe akimbaka msichana wa kazi. Amelazimika kuchukua likizo ili areflect; msimamo wake ni kuend ndoa ya kikatoliki.
Nimemwambia aje kwangu (likizo) nimshauri; she is coming in two days!
Wengi mnajua msimamo wangu; ushauri ambao ningempa ni kuachana naye. Lkn ninataka Mdogo wangu apate the best ushauri from u guys!
Naomba mnisaidie tumshauri!
Asante na happy holidays!
kama ishu ni kubaka,
na nyinyi mnapenda haki
basi mgeanzia kituo cha polisi kwanza
huyo 'mhalifu' akamatwe.mengine yatakuja baadae...
kuendelea ndoa na mbakaji?
kuachana atakufa au?
mnataka aje ambake watoto wa ndugu au?