Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

huwa sishabikii kuvunja ndoa at any cost
lakini hapo hana ndoa
anatafuta magnjwa tu ya bure

baadhi ya hao watu wa kazi hizo huwa ni wabakaji sana
huwa hawastakiwi kulinda hadhi ya sehemu zilizowaajiri

kwa kifupi hana mme hapo
ila mwenye ndoa ndo ataamua
afu %ya maambukizi ya vvu migodini ni kubwa
afu yuko mbali na mkwewe kitu kinachoongeza risk
Plus risk behaviors
duh!
Nitajaribu kumshauri kuhusu kuyamaliza; but she will get my total support akiamua vyovyote! She is a strong woman naimani she will recover.
 
The boss you might be right to some extent, though l have never seen my father raising a finger to my mother, a voice yes! Cheating, well yes hadi waliseparate for 6 months, lkn ilichangiwa kwa kiasi kikubwa na my aunties!
You are definetely right about founding wanaume wapole boring! Lkn kinyume cha upole sio kuwa abusive! I am attracted to mature, fun loving guys, bahati mbaya wengi wanakuwa vicheche!

and abusive guys tend to be good in bed...
that is ur weakness i guess....lol
 
Ni kabinti kadogo, kamebakwa! Majirani walisikia kakikataa na ndio wakampigia simu Mdogo wangu!

Kwani ni nyumba ya kupanga? Kwa hiyo mdogo wako hakuona live, ila amesikia kwa majirani?
 
Hayo mambo anatakiwa kufanyia nje ya hapo nyumbani, LAKINI HADI KUBAKA?
Are you sure shemeji yako akili zake ni sawa?

Hicho ndicho kinachonichefua! My experience; my guy was okay upstair, msichana wangu alikuwa anamtega (kanga moja n the like; l did witness this ila maconfidence yaliniponza. LOL), nilisafiri kikazi na mtu ambaye anamsuspect (insecurity), he was drunk and they were alone in a big house (mtoto shule).
 
Lakini huu ni upande mmoja wa shilingi, Da Kaunga isijeikawa mdogo wako anamnyima shemeji haki yake! Kaamua kujinyakulia kwa nguvu kutimiza haja zake!
 
Kwani ni nyumba ya kupanga? Kwa hiyo mdogo wako hakuona live, ila amesikia kwa majirani?

Nyumba ya kwao haijaisha vizuri (madirisha ni grill na wavu); alipigiwa Simu hosp si mbali, akamkuta binti bado analia!
 
Lakini huu ni upande mmoja wa shilingi, Da Kaunga isijeikawa mdogo wako anamnyima shemeji haki yake! Kaamua kujinyakulia kwa nguvu kutimiza haja zake!

Is it an excuse? If it was a case si angetafuta mdada huko machimboni; afterall anarudi nyumbani weekend tu! Kabinti kadogo kweli? Kama ameeathirika si muuaji huyo? They are not bythe way!
 
and abusive guys tend to be good in bed...
that is ur weakness i guess....lol

Hehe boss nilikuwa nataka nimjibu hivi . ajaribu ki settle na wanaume wapole anaowaona wana bore sababu vicheche siku zote mwisho wake Si mzuri. plus kuna magonjwa sikuhizi
 
Sio hivyo The Boss,kumbuka kosa si kosa bali kosa ni kurudia kosa,kumbuka sote ni wadhaifu na kuna wakati shetani anatuzidi nguvu hata Yesu alisema kwa yule mwanamke kuwa Asiye na dhambi na ampige huyu mama kwa mawe....je nani msafi kati ya wanadamu?????
Makosa mengine sio ya kuendekeza. Kubaka ni kosa kubwa sana!
 
mnaweza niita dikteta
lakini mimi kama ni kaka au baba nimeletewa hii kesi
hiyo ndoa 'naivunja' hata binti akisema amemsamehe mumewe.....
kwa nguvu naivunja hiyo ndoa....
 
mpelekeni polisi,huyo binti apatiwe na ushauri nasaha. mdogo wako nesi kwa nini asingeripoti polisi na kumkimbiza hostl binti apatiwe vya hiv kabla masaa 72 hayajapita?

Sorry nilipata wageni; ngoja nijaribu kujibu nitakayoyaweza!
Ndoa yao ina kama miaka 4 sasa (uchumba wa 3yrs); hawajabahatika kupata mtoto Mdogo wangu ana shida kwenye mirija na mumewe ana low sperm count.

Last time tumeonana na mdogo wangu kwenye msiba (complains za infedality zilikuwepo). Mumewe anafanya kazi kwenye machimbo (geita) hivyo huonana weekend (l am sure lazima atakuwa na mtu kule)

Kibinti kilichobakwa kiko less than 16yrs; mdogo wangu alitaka kumpeleka hospital lakini kwa madai yake mume aliwafukuza wote; binti yuko kwao, mdogo wangu alilala kwa shoga zake. Imebidi nimtumie Mpesa ili apate hata kula. Nyumba imefungwa, mume karudi machimboni, nimemwambia avunje ili aingie. (wamejenga wote)

Ashadii; l know na ndio maana nimeomba kupata ushauri (same story ilihappen to me; nikuonesha SMS aliyonitumia usiku; alirefer to my issue). Kwangu mimi pamoja na kwamba ilkuwa the first incident niliend relationship; na sijuitii.
 
Is it an excuse? If it was a case si angetafuta mdada huko machimboni; afterall anarudi nyumbani weekend tu! Kabinti kadogo kweli? Kama ameeathirika si muuaji huyo? They are not bythe way!
Is not an excuse kwetu but kama nia yake ilikuwa ni kumwuumiza mdogo wako kwa nia ya kulipa kisasi, unadhani angeenda mbali dada?

Najaribu tu kukifikiria kiburi chake! Nilishawahiona kesi ya baba na mwanae wa kufikia and reaction ilikuwa kama hii na yalipofika kwa wazee wakapewa jibu la 'yeye ananinyima, anataka nikale wapi?'!!

Binadamu tuna mambo!
 
Kwa hii reaction ya shemeji yako, mpelekeni police. Mkumbushe mdogo wako kuwa wakati anafikiria maisha yake afikirie pia maisha ya huyo binti wa watu.
Mwanaume huyo ametenda kosa na bado anaonyesha dharau na ubabe. Hizi ni dalili tosha kuwa akisamehewa ataufanya ndio mchezo wake.
Unajua mwanzoni nilitamani wasameheane ila mh hapana kwa hapo mi naona vyovyote tu sawa!
 
Sorry nilipata wageni; ngoja nijaribu kujibu nitakayoyaweza!
Ndoa yao ina kama miaka 4 sasa (uchumba wa 3yrs); hawajabahatika kupata mtoto Mdogo wangu ana shida kwenye mirija na mumewe ana low sperm count.

Last time tumeonana na mdogo wangu kwenye msiba (complains za infedality zilikuwepo). Mumewe anafanya kazi kwenye machimbo (geita) hivyo huonana weekend (l am sure lazima atakuwa na mtu kule)

Kibinti kilichobakwa kiko less than 16yrs; mdogo wangu alitaka kumpeleka hospital lakini kwa madai yake mume aliwafukuza wote; binti yuko kwao, mdogo wangu alilala kwa shoga zake. Imebidi nimtumie Mpesa ili apate hata kula. Nyumba imefungwa, mume karudi machimboni, nimemwambia avunje ili aingie. (wamejenga wote)

Ashadii; l know na ndio maana nimeomba kupata ushauri (same story ilihappen to me; nikuonesha SMS aliyonitumia usiku; alirefer to my issue). Kwangu mimi pamoja na kwamba ilkuwa the first incident niliend relationship; na sijuitii.

yan umenisikitisha kweli yan mmh.
afu kuolewa olewa uku mwishowe m2 unaolewa na mwendawazimu jaman mmh.
bwana mwambie aachane nae kwanza mwendawazimu huyo.
 
Makosa mengine sio ya kuendekeza. Kubaka ni kosa kubwa sana!
Unajua mwanzoni sikujua km hali ni critical sana, Mwali kwa sasa mi sitetei tena jamaa si mstaarabu tena akamatwe tu na kushtakiwa ikibidi km ushaidi bado unaweza kupatikana
 
Back
Top Bottom